Hata umpe nini mwanamme haridhiki??

480247_417960068280716_154205791_n.jpg
 

  • Mkempia
    Re: Hata umpe nini mwanamme haridhiki??
    eeeh jamani
    mwanadamu hatosheki
    hata ukimpa nini?
    Milele hatoridhika aah!
    nimekumbuka nimewahi sikia haka kaubeti kanaimbwa redion sijui nani mtunzi.​
  • Today, 11:08

  • mtunzi ni ishimanga Asosa Kalala.
 
Kwani wanawake wanasifa ya kutoa au kupokea?

Hiyo kauli huwa wanatoa kibinafsi tu
 
Unataka mwanaume aridhike nini wakati unampa mara moja kwa wiki? Zile siku unazosema umechoka ndo mwanaume anatafuta pa kujazilizia.

Hayo mengine ya upendo wanajua wanawake upendo ni nini!
 
nini icho cha umuhimu...... understanding or heshima or.....??????? embu funguka bs.
Nadhani heshima zaidi, hata vitabu vyasema enyi wanawake watiini waume zenu..,na sie tuwapende!
 
Valentina umekosea my dada!!! Kwani tafsiri ya mapenzi ya dhati nin nini? Uzuri wa mwanamke ni nini? Ukishajua hayo utaelewa nikwanini hawaridhiki. Mwanamke unaweza kuwa mzuri saaaana na mapenzi ya dhati ukawa nayo ila kama mdomo wako hauna speed governor kwa mumeo, majirani na ndugu zake bado utaona haridhiki tu!!!! Think out then angalia kama hataridhika. Huwezi nipenda halafu mama yangu unamvutia mdomo nikaridhika. haiwezekani.

Nimekuelewa my kaka
 
1 Reactions
Reply
Back
Top Bottom