Hata ulaya kumbe ipo | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Hata ulaya kumbe ipo

Discussion in 'Mahusiano, mapenzi, urafiki' started by Grader, Jul 18, 2009.

 1. Grader

  Grader JF-Expert Member

  #1
  Jul 18, 2009
  Joined: Feb 23, 2009
  Messages: 446
  Likes Received: 5
  Trophy Points: 35
  Dereva wa Treni Abambwa Akijichua Mwenyewe Huku Treni Likiwa Kwenye Kasi


  Saturday, July 18, 2009 7:01 AM
  Dereva mmoja wa treni nchini Uingereza huenda akapoteza kazi yake baada ya kukamatwa akipiga punyeto huku akiendesha treni linaloenda kasi sana kwa kilomita 201 kwa saa.
  Dereva huyo alifumaniwa na mfanyakazi mwenzake akiangalia porno huku akujichua mwenyewe wakati akiendesha treni ya abiria ya kampuni ya Virgin Trains.

  Taarifa zilisema kuwa mfanyakazi mwenzake aliingia kwenye chumba cha dereva wa treni katikati ya safari na kumkuta dereva huyo akiwa amezitoa nyeti zake nje.

  Kufuatia habari za kitendo chake hicho kuzagaa miongoni mwa wafanyakazi wenzake, dereva huyo wa treni aliamua kujipeleka mwenyewe kwa mabosi wake.

  Virgin Trains imemsimamisha kazi kwa muda wakati hatua za kinidhamu zikifuatiliwa na huenda akafukuzwa kazi iwapo tuhuma hizo zitathibitika kuwa ni za kweli.
   
Loading...