Hata ukibisha kwa sasa, Simba huwezi kuitoa kwenye tatu bora ya Afrika

Albinoomweusi

JF-Expert Member
Oct 28, 2016
3,186
8,212
Anaandika @exaud_msaka_habari

Huwezi kutaja Timu zako tatu bora Africa kwa sasa kwenye haya Mashindano ukaiacha Simba, tukubali tu hilo kwanza ndio tuendelee kijadili soka.

Ukitaka kupima uwezo wa Simba subiri siku wacheze na Mitimu mikubwa kama hii ndio unaweza kupima.

Bonge moja la Mechi leo, utulivu, Malengo, na kuzingatia wanachoambiwa na Mwalimu ndio kinawafanya Simba wawe bora sana Msimu huu.

Mchezaji mmoja mmoja kila mtu ni Bora kwa upande wake, akikuudhi dakika moja basi ujue dakika tatu zijazo atakufurahisha.

Tunaendelea kujifunza Soka kupitia kwa Chama, tunaendelea kujiona hatujui soka kupitia Chama.

Niliwahi kusema hapa mtu anayejua mpira usimtukane hata akifanya kitu gani, anabakia anajua na kuna Siku atakuonesha.

ALL IN ALL DALILI ZINAONESHA SIMBA HAISHII ROBO FAINALI.

Screenshot_20210403-185250.jpg
 
Sawa mkuu, mwaka wao huu! Wanahitaji pongezi kwa hatua waliyopiga!
 
Hiyo msg ya caf mwishoni naona ka emoji ka ndege yaani aeroplane na kibulungutu cha dola
Dedication
Don Nalimison anazidi tu kupaa kimataifa! Baadaya ngoma yake kali ya I am a Soldier, naona kumbe ana ngoma nyingine ya I am congratulating you!! Hakika DON ni Jabali la muziki Afrika na Duniani kwa ujumla.

Muda si mrefu Malia Obama atamtafuta mwenyewe kwa ajili ya ndoa.
 
Kamati ya usajili Simba, katika usajili wa msimu ujao TAFADHALI MSIWAONDOE WATU WAFUATAO.
Manula
Kapombe
Hussein
Onyango
Miquisone
Mkude
Bwalya
T.Lwanga
Chama
Kahata
Morison.

Sehemu ya kukazania Ni CENTRAL DEFENDERS na STRIKES.

kiungo na Wing Backs tuko vzr msivuruge
 
Chama wa Simba ni kama Zidane wakati akichezea madrid.
Wao ndo wanaamuwa timu ipate matokeo au isipate.
 
Kamati ya usajili Simba, katika usajili wa msimu ujao TAFADHALI MSIWAONDOE WATU WAFUATAO.
Manula
Kapombe
Hussein
Onyango
Miquisone
Mkude
Bwalya
T.Lwanga
Chama
Kahata
Morison.

Sehemu ya kukazania Ni CENTRAL DEFENDERS na STRIKES.

kiungo na Wing Backs tuko vzr msivuruge
nakuunga mkono 100% ni kama uko kwenye brain yangu. Wawa ampishe Peter(hakuna haja ya kusajiri tena). Halafu asajiriwe striker hatari ambaye hahitaji trial. Zimbwe Jr aongezewe nguvu yule Manyama wa Namungo anatosha
 
Hao CAF wanatakiwa wajue pia Simba inashika nafasi ya pili kwenye ligi ndani, hivyo watambue kuwa kuna mtemi mwingine anakuja kukinukisha msimu ujao.

Wawe wanaipongeza na Yanga pia, waache upendeleo tutaitisha press wasipoipongeza Yanga kwa kuongoza ligi.
 
Anaandika @exaud_msaka_habari

Huwezi kutaja Timu zako tatu bora Africa kwa sasa kwenye haya Mashindano ukaiacha Simba, tukubali tu hilo kwanza ndio tuendelee kijadili soka.

Ukitaka kupima uwezo wa Simba subiri siku wacheze na Mitimu mikubwa kama hii ndio unaweza kupima.

Bonge moja la Mechi leo, utulivu, Malengo, na kuzingatia wanachoambiwa na Mwalimu ndio kinawafanya Simba wawe bora sana Msimu huu.

Mchezaji mmoja mmoja kila mtu ni Bora kwa upande wake, akikuudhi dakika moja basi ujue dakika tatu zijazo atakufurahisha.

Tunaendelea kujifunza Soka kupitia kwa Chama, tunaendelea kujiona hatujui soka kupitia Chama.

Niliwahi kusema hapa mtu anayejua mpira usimtukane hata akifanya kitu gani, anabakia anajua na kuna Siku atakuonesha.

ALL IN ALL DALILI ZINAONESHA SIMBA HAISHII ROBO FAINALI.

View attachment 1742385
IMG-20210404-WA0007.jpg
 
Kama ukiangalia timu zilizogikisha points nyingi kwenye makundi...

Anyway tusubiri robo fainali itakuja vipi, maana waarabu wapo wengi na ni wale wa Morocco na Tunisia ambao timu zetu za Tanzania hatujazoea sana kukutana nao...
 
Hao CAF wanatakiwa wajue pia Simba inashika nafasi ya pili kwenye ligi ndani, hivyo watambue kuwa kuna mtemi mwingine anakuja kukinukisha msimu ujao.

Wawe wanaipongeza na Yanga pia, waache upendeleo tutaitisha press wasipoipongeza Yanga kwa kuongoza ligi.
Wanatamani hiyo mechi ya mzunguko wa pili wa ligi tarehe 8 ya mwezi Mei, iahirishwe vile!

Ujanja wote wa kucheza ligi ya Mabingwa Afrika huishia wanapokutana tu na timu ya Wananchi na wale wajelajela wa Priaons!
 
nakuunga mkono 100% ni kama uko kwenye brain yangu. Wawa ampishe Peter(hakuna haja ya kusajiri tena). Halafu asajiriwe striker hatari ambaye hahitaji trial. Zimbwe Jr aongezewe nguvu yule Manyama wa Namungo anatosha
Sipati picha kule kwa zimbwe angekuwepo asante kwasi......zimbwe kaloga mpaka dogo kakimbia
 
Back
Top Bottom