Elections 2010 Hata Tambalizeni kamtosa JK?

Raia Fulani

JF-Expert Member
Mar 12, 2009
10,877
2,758
Wadau huyu mtaalam wa kughani wa ccm yuko wapi? Tulimsikia sana chaguzi zilizopita. Mwenye habari zake mtumwagie
 
Ni nani huyu? Au unamwongelea mkurugenzi wa propaganda wa ccm Tambwe hiza?
 
Kikwete hamwamini mtu yeyote aliyekuwa karibu na Mkapa!! kuanzanzia kwa Sumaye, Mangula, Ngwilizi, Yona, Mramba, Maghufuli, Tambalizeni nk. infact kwenye uchaguzi huu anamwamini Mama Salma, Ridhwan, Kinana, Shekhe Yahya na yule dogo wake sijui Miraji sijui nani!!
 
Baada ya kumwagwa nafasi ya ujumbe wa halmashauri kuu ccm nafasi za vijana na kukosa ulaji Tambalizeni sasa hivi yu hoi bin taaban
 
kikwete anaiamini familia yake tu...............na mafisadi km rostam lowasa na vinyamkela vingine
 
Back
Top Bottom