Hata Rais akiwa kanisani hawezi kuchangamana na waumini wengine?

The Assassin

JF-Expert Member
Oct 30, 2018
4,355
17,319
Ni kweli kua rais anapaswa kulindwa na kuhakikishiwa ulinzi masaa 24 7.

Naomba kuuliza, je rais anapokua kanisani haruhusiwi kuchagamana na waumini wengine?

Kwa mfano katika hii picha walinzi wa rais wamemzunguka na kumtenga rais na watu wengine. Je hii haiondoi dhana nzima ya kua ibadani? Hakuna namna nyingine ya kuharmonize ulinzi wa rais katika mazingira kama haya maana kwa hii inaondoa kabisa ile ari ya kusali.

Nimeuliza tu.
IMG_20190210_091041.jpg
 
Ni kweli kua rais anapaswa kulindwa na kuhakikishiwa ulinzi masaa 24 7.

Naomba kuuliza, je rais anapokua kanidani haruhusiwi kuchagamana na waumini wengine?

Kwa mfano katika hii picha walinzi wa rais wamemzunguka na kumtenga rais na watu wengine. Je hii haiondoi dhana nzima ya kua ibadani? Hakuna namna nyingine ya kuharmonize ulinzi wa rais katika mazingira kama haya maana kwa hii inaondoa kabisa ile ari ya kusali.

Nimeuliza tu.View attachment 1018569
Ameenda kutubu??
 
Nyerere alikuwa anasali kila siku pale St Peters lakini mbwembwe zilikuwa zinaachwa nje ya kanisa. Mwinyi msikitini alienda, Mkapa naye na hata JK alienda sio msikitini tuu bali hata mazishini alienda na mbwembwe hatukuziona.
Huyu wa kwetu sasa haya ndio anapenda, kwanza alipenda hata asindikizwe na ndege za kivita na vifaru ni basi tuu inakuwa ngumu. Ni mpenda sifa sana
 
Unajua Indira Gandhi alivyo uwawa na Pia Sanjay kama sio Rajiv Gandhi? au Olof Palme wa Sweden. Akili za kuambiwa changanya na zako
 
Nyerere alikuwa anasali kila siku pale St Peters lakini mbwembwe zilikuwa zinaachwa nje ya kanisa. Mwinyi msikitini alienda, Mkapa naye na hata JK alienda sio msikitini tuu bali hata mazishini alienda na mbwembwe hatukuziona.
Huyu wa kwetu sasa haya ndio anapenda, kwanza alipenda hata asindikizwe na ndege za kivita na vifaru ni basi tuu inakuwa ngumu. Ni mpenda sifa sana
Zama zinabadilika Boss, Ulinzi sio inshu static kwamba strategies walizotumia kumlinda Nyerere ndo zitumike kwa Mkwere au Magu hio hapana, Sisi tunachotaka ni Kuwa Rais awe salama kwa gharama yoyote ile.
Kitengo k
 
Ni kweli kua rais anapaswa kulindwa na kuhakikishiwa ulinzi masaa 24 7.

Naomba kuuliza, je rais anapokua kanidani haruhusiwi kuchagamana na waumini wengine?

Kwa mfano katika hii picha walinzi wa rais wamemzunguka na kumtenga rais na watu wengine. Je hii haiondoi dhana nzima ya kua ibadani? Hakuna namna nyingine ya kuharmonize ulinzi wa rais katika mazingira kama haya maana kwa hii inaondoa kabisa ile ari ya kusali.

Nimeuliza tu.rView attachment 1018569
Waliokamuona Nyerere kipindi hiko kanisani na pia wamefanikiwa kumuona Magufuli kanisani akisali wanakuambia bora Rais Magufuli anakaa na watu kuliko Nyerere
Pascal Mayalla
 
Hili jambo la Rais kwenda Kanisani na mbwembwe zote za dola, limetukwaza wengi.

Tunaosali St Peters, kila mmoja analalamika. Siku Rais akija kusali inakuwa ni kero kubwa.

Siku anayoenda kusali, hakuna mtu anayeruhusiwa kuingia kabla ya walinzi kuingia na mbwa na kufanya ukaguzi kila mahali. Mbwa wanapelekwa mpaka madhabahuni kwenda kukagua.

Magari yote yanayoingia kwenye eneo la kanisa au hukaguliwa kwa vifaa maalum au yanazuiwa kuingia eneo la kanisa. Waumini wote kabla ya kuingia kanisani, hukaguliwa kwa metal detectors, mikoba yote ya akina mama inakaguliwa.

Wakati wa kutoa sadaka na kupokea ekaristi takatifu, walinzi wa Rais hujipanga mistari miwili, na waumini wote hulazimishwa kupita katikati ya hiyo mistari miwili ya walinzi wa Rais.

Kuna wakati Rais hukaa mstari wa mbele na mlinzi wake, nyuma yake hupangwa masisita. Wakati mwingine hukaa nyuma ya masista, na mistari inayofuata wanakaa walinzi wake.

Wakati ibada ikiendelea, baadhi ya walinzi wa Rais, husimama mbele na kuwaangalia waumini, huku wengi wakiwa wametapakaa maeneo mbalimbali.

Kwa ujumla, siku Rais akienda pale St Peters ni kama siku hiyo huwa hakuna ibada ila maonesho ya mbwembwe za walinzi wa Rais.

Tunashauri uongozi wa kanisa, Rais awe na ibada yake pekee yake na watu wake anaowaamini kuwa ni salama kwake. Maana kwa sasa ukienda halafu na Rais akawa anakuja siku hiyo kusali, unajilaumu kwa nini ulienda kwenye ibada hiyo.

Kama uongozi wa kanisa hauwezi kuzingatia maoni yetu haya, kuna siku watashangaa waumini wote wakitoka na kuwaacha na Rais na walinzi wake. Kwa ujumla siku Rais akienda Kanisani, hakuna ibada. Rais inaonekana haendi kwenye ibada bali kwenye maonesho. Kama kanisani ni hatari kiasi hicho, mapadre waweke utaratibu wa kwenda kumsalisha Rais Ikulu ambako, nina imani kuna usalama wa kutosha.

Na hawa viongozi wetu wa kanisa wanatukwaza kiasi cha kujiuliza kama kweli wapo na Roho ya Mungu. Itawezekana vipi, madhabahuni ambako sisi tunaamini ni eneo takatifu, leo wanapitishwa mbwa kila eneo, kama wanavyotaka?

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Nyerere alikuwa anasali kila siku pale St Peters lakini mbwembwe zilikuwa zinaachwa nje ya kanisa. Mwinyi msikitini alienda, Mkapa naye na hata JK alienda sio msikitini tuu bali hata mazishini alienda na mbwembwe hatukuziona.
Huyu wa kwetu sasa haya ndio anapenda, kwanza alipenda hata asindikizwe na ndege za kivita na vifaru ni basi tuu inakuwa ngumu. Ni mpenda sifa sana

Mbwembwe gani tena!!!wale jamaa wenye siraha wako wapi hapo kanisani??si wako nje huko??

Mtapinga mpaka uraia wa wazazi wenu maipokuwa makini.
 
Dah aiseee umeongea kwa hisia sana. Ila kwa jinsi nilijuavyo kanisa katoliki... Sitegemei kama kutakua na mabadiliko yoyote.
 
Ukitengeza maadui kila pembe lazima ujilinde vizuri.

Ni kweli kua rais anapaswa kulindwa na kuhakikishiwa ulinzi masaa 24 7.

Naomba kuuliza, je rais anapokua kanidani haruhusiwi kuchagamana na waumini wengine?

Kwa mfano katika hii picha walinzi wa rais wamemzunguka na kumtenga rais na watu wengine. Je hii haiondoi dhana nzima ya kua ibadani? Hakuna namna nyingine ya kuharmonize ulinzi wa rais katika mazingira kama haya maana kwa hii inaondoa kabisa ile ari ya kusali.

Nimeuliza tu.View attachment 1018569
 
Hili jambo la Rais kwenda Kanisani na mbwembwe zote za dola, limetukwaza wengi.

Tunaosali St Peters, kila mmoja analalamika. Siku Rais akija kusali inakuwa ni kero kubwa.

Siku anayoenda kusali, hakuna mtu anayeruhusiwa kuingia kabla ya walinzi kuingia na mbwa na kufanya ukaguzi kila mahali. Mbwa wanapelekwa mpaka madhabahuni kwenda kukagua.

Magari yote yanayoingia kwenye eneo la kanisa au hukaguliwa kwa vifaa maalum au yanazuiwa kuingia eneo la kanisa. Waumini wote kabla ya kuingia kanisani, hukaguliwa kwa metal detectors, mikoba yote ya akina mama inakaguliwa.

Wakati wa kutoa sadaka na kupokea ekaristi takatifu, walinzi wa Rais hujipanga mistari miwili, na waumini wote hulazimishwa kupita katikati ya hiyo mistari miwili ya walinzi wa Rais.

Kuna wakati Rais hukaa mstari wa mbele na mlinzi wake, nyuma yake hupangwa masisita. Wakati mwingine hukaa nyuma ya masista, na mistari inayofuata wanakaa walinzi wake.

Wakati ibada ikiendelea, baadhi ya walinzi wa Rais, husimama mbele na kuwaangalia waumini, huku wengi wakiwa wametapakaa maeneo mbalimbali.

Kwa ujumla, siku Rais akienda pale St Peters ni kama siku hiyo huwa hakuna ibada ila maonesho ya mbwembwe za walinzi wa Rais.

Tunashauri uongozi wa kanisa, Rais awe na ibada yake pekee yake na watu wake anaowaamini kuwa ni salama kwake. Maana kwa sasa ukienda halafu na Rais akawa anakuja siku hiyo kusali, unajilaumu kwa nini ulienda kwenye ibada hiyo.

Kama uongozi wa kanisa hauwezi kuzingatia maoni yetu haya, kuna siku watashangaa waumini wote wakitoka na kuwaacha na Rais na walinzi wake. Kwa ujumla siku Rais akienda Kanisani, hakuna ibada. Rais inaonekana haendi kwenye ibada bali kwenye maonesho. Kama kanisani ni hatari kiasi hicho, mapadre waweke utaratibu wa kwenda kumsalisha Rais Ikulu ambako, nina imani kuna usalama wa kutosha.

Na hawa viongozi wetu wa kanisa wanatukwaza kiasi cha kujiuliza kama kweli wapo na Roho ya Mungu. Itawezekana vipi, madhabahuni ambako sisi tunaamini ni eneo takatifu, leo wanapitishwa mbwa kila eneo, kama wanavyotaka?

Sent using Jamii Forums mobile app
Mkuu poleni sana kwa adhaa hiyo, Unajua kikubwa ni Rais awe salama ila pia kuna kuangalia Kutowakera wengine haswa maeneo hayo ya ibada, Japani Hata msafara wa Rais barabarani hau block section wala kusimamisha magari kwa Lisaa ili mkuu apite hio halipo, Hawa walinzi wanatulindia Rais wetu kishamba sana kiasi mpaka audience inabaki kuwashangaa tu kuliko kufatilia kinachoendelea, Sasa nini maana ya wao kuvaa suti kama bado wanaleta mambo izo si bora wawe armed tu kuliko kuvaa suti ambazo zinawafananisha kimazingira na wanae mlinda, Rais alindwe kwa gharama yoyote ila pia kwa mbinu zaidi kuliko minguvu
 
Ni kweli kua rais anapaswa kulindwa na kuhakikishiwa ulinzi masaa 24 7.

Naomba kuuliza, je rais anapokua kanidani haruhusiwi kuchagamana na waumini wengine?

Kwa mfano katika hii picha walinzi wa rais wamemzunguka na kumtenga rais na watu wengine. Je hii haiondoi dhana nzima ya kua ibadani? Hakuna namna nyingine ya kuharmonize ulinzi wa rais katika mazingira kama haya maana kwa hii inaondoa kabisa ile ari ya kusali.

Nimeuliza tu.View attachment 1018569
Tafuta picha za JK wakati akiwa Rais anapokuwa msikitini mkuu tuone.
 
Hili jambo la Rais kwenda Kanisani na mbwembwe zote za dola, limetukwaza wengi.

Tunaosali St Peters, kila mmoja analalamika. Siku Rais akija kusali inakuwa ni kero kubwa.

Siku anayoenda kusali, hakuna mtu anayeruhusiwa kuingia kabla ya walinzi kuingia na mbwa na kufanya ukaguzi kila mahali. Mbwa wanapelekwa mpaka madhabahuni kwenda kukagua.

Magari yote yanayoingia kwenye eneo la kanisa au hukaguliwa kwa vifaa maalum au yanazuiwa kuingia eneo la kanisa. Waumini wote kabla ya kuingia kanisani, hukaguliwa kwa metal detectors, mikoba yote ya akina mama inakaguliwa.

Wakati wa kutoa sadaka na kupokea ekaristi takatifu, walinzi wa Rais hujipanga mistari miwili, na waumini wote hulazimishwa kupita katikati ya hiyo mistari miwili ya walinzi wa Rais.

Kuna wakati Rais hukaa mstari wa mbele na mlinzi wake, nyuma yake hupangwa masisita. Wakati mwingine hukaa nyuma ya masista, na mistari inayofuata wanakaa walinzi wake.

Wakati ibada ikiendelea, baadhi ya walinzi wa Rais, husimama mbele na kuwaangalia waumini, huku wengi wakiwa wametapakaa maeneo mbalimbali.

Kwa ujumla, siku Rais akienda pale St Peters ni kama siku hiyo huwa hakuna ibada ila maonesho ya mbwembwe za walinzi wa Rais.

Tunashauri uongozi wa kanisa, Rais awe na ibada yake pekee yake na watu wake anaowaamini kuwa ni salama kwake. Maana kwa sasa ukienda halafu na Rais akawa anakuja siku hiyo kusali, unajilaumu kwa nini ulienda kwenye ibada hiyo.

Kama uongozi wa kanisa hauwezi kuzingatia maoni yetu haya, kuna siku watashangaa waumini wote wakitoka na kuwaacha na Rais na walinzi wake. Kwa ujumla siku Rais akienda Kanisani, hakuna ibada. Rais inaonekana haendi kwenye ibada bali kwenye maonesho. Kama kanisani ni hatari kiasi hicho, mapadre waweke utaratibu wa kwenda kumsalisha Rais Ikulu ambako, nina imani kuna usalama wa kutosha.

Na hawa viongozi wetu wa kanisa wanatukwaza kiasi cha kujiuliza kama kweli wapo na Roho ya Mungu. Itawezekana vipi, madhabahuni ambako sisi tunaamini ni eneo takatifu, leo wanapitishwa mbwa kila eneo, kama wanavyotaka?

Sent using Jamii Forums mobile app
Wapo wengi tu wanaofurahia na wengine utakuta wapo nyumbani, wakiambiwa rais kaja wanakuja fasta na ibada wanasali..
Wapo ambao wanaenda wakijua rais atakuwepo,mwisho wa siku wanakuwa wanasali na sadaka wametoa..

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Nyerere alikuwa anasali kila siku pale St Peters lakini mbwembwe zilikuwa zinaachwa nje ya kanisa. Mwinyi msikitini alienda, Mkapa naye na hata JK alienda sio msikitini tuu bali hata mazishini alienda na mbwembwe hatukuziona.
Huyu wa kwetu sasa haya ndio anapenda, kwanza alipenda hata asindikizwe na ndege za kivita na vifaru ni basi tuu inakuwa ngumu. Ni mpenda sifa sana
Hujawahi kuhudhuria misa zinazohudhuriwa na Rais kuanzia Nyerere,Mkapa na sasa hivi Magufuli, hivyo ndivyo ulinzi ulivyo siku zote.Kaa kimya usitulishe matango pori
 
Pole sana, mkuu. Nimeguswa na kilio chako.

Back
Top Bottom