Hata punda anaweza kuwa rais wa Tanzania! | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Hata punda anaweza kuwa rais wa Tanzania!

Discussion in 'Jukwaa la Siasa' started by KYALOSANGI, Mar 25, 2011.

 1. KYALOSANGI

  KYALOSANGI JF-Expert Member

  #1
  Mar 25, 2011
  Joined: Jan 21, 2011
  Messages: 1,896
  Likes Received: 472
  Trophy Points: 180
  Hu wa najiuliza kwa hali hii inayoendela nchini ,na mamlaka aliyo nayo mkuu wa nchi ,na utamaduni wa wa Watanzania wa kutoona wajibu wa viongozi ,na ugoigoi wa kutopigania haki ,ni dhahiri kuwa hata bila ya uongozi nchi hii inaweza kuwepo .
  Kama kungekuwa na uongozi dhahiri tusingekuwa hapa.
  Kama watu wanaweza kuiba wakarejesha na rais akatangaza ,tukakaa kimya ,maana yake nn! fedha zinzkwapuliwa BOT watu wana cheka ......
  kiongozi anawaambia watu ...kuleni nyasi,kuleni kwa jasho lenu....!Hakuna kinachotokea mifano ni mingi mno ila kwa kifupi ni kwamba hata punda anaweza kuwa rais wa Tanzania na amani na utulivu ukaendelea!
   
 2. Susy

  Susy JF-Expert Member

  #2
  Mar 25, 2011
  Joined: Feb 5, 2011
  Messages: 1,450
  Likes Received: 6
  Trophy Points: 0
  nikichangia chochote hapa nitapewa yellow card kwa ajili ya ban!!!! ngoja nitoke, natoka!!!
   
 3. kitalolo

  kitalolo JF-Expert Member

  #3
  Mar 25, 2011
  Joined: Dec 4, 2006
  Messages: 1,846
  Likes Received: 13
  Trophy Points: 135

  vipi ushatoka?
   
 4. M

  Marytina JF-Expert Member

  #4
  Mar 25, 2011
  Joined: Jan 20, 2011
  Messages: 7,035
  Likes Received: 48
  Trophy Points: 145
  tittle umekosea kidogo
  ungesema hata Punda anaweza kuwa mtendaji mkuu wa CCM
   
 5. Mwananzuoni

  Mwananzuoni JF-Expert Member

  #5
  Mar 25, 2011
  Joined: Apr 22, 2009
  Messages: 288
  Likes Received: 24
  Trophy Points: 35
  Subiri Dawa yao inachemka kwa Babu Loliondo. Viongozi wa aina hii wanastahili kuinywa!!!!!!!!!!!!!!
   
 6. Kbd

  Kbd JF-Expert Member

  #6
  Mar 25, 2011
  Joined: Oct 9, 2009
  Messages: 1,264
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 133
  Ni ukweli unaoumiza sana, yaani in short tuko kama mazezeta fulani hivi (samahani kama kuna niliyemkwaza):nimekataa
   
 7. J

  Joblube JF-Expert Member

  #7
  Mar 25, 2011
  Joined: Mar 4, 2011
  Messages: 367
  Likes Received: 2
  Trophy Points: 35
  Wanatuona sisi mabwege we tulia
   
 8. Sigma

  Sigma JF-Expert Member

  #8
  Mar 25, 2011
  Joined: Feb 26, 2011
  Messages: 5,016
  Likes Received: 14
  Trophy Points: 135
  Sommalia inaishi na haina rais
   
 9. K

  Kijallo JF-Expert Member

  #9
  Mar 25, 2011
  Joined: Mar 3, 2011
  Messages: 409
  Likes Received: 2
  Trophy Points: 0
  Kama vp hii nch tugawane tu!uzuzu wa watu wengine unatugharimu wengine!
   
 10. POMPO

  POMPO JF-Expert Member

  #10
  Mar 25, 2011
  Joined: Mar 12, 2011
  Messages: 6,694
  Likes Received: 14
  Trophy Points: 135
  Aghriiiiiiiiiiiiiiiiiiiiii
   
Loading...