Hata Mwalimu Nyerere aliwahi kukumbana na watu kama Kakobe

Kipindi cha nyerere kuna ndume moja ilijotokeza na kusema Ina pesa kuzidi serikali
Tena alipita njiani akijinadi kuwa serikali yote ipo mfukoni mwake

Hakika Mwl nyerere alihudhunika saaanaa na hatimaye akasema
"Ni nani huyu awezaye kusema serikali yote iko mfukoni mwake je ana mfuko mkubwa kiasi Gan?"
Basi Mwl aliamua kumkamata jamaa na kumtia misukosuko Sana Sana
Mapadiri na maaskofu wakaingilia Kati et Mwl mwachie Mwl mwachieeeeee
Basi nkamwachia kwa masharti na kwa kuwa alkuwa bepari akamwambia NAKUACHIA LAKINI USIONEKANE NDANI YA AFRIKA MASHARKI ..

JPM Fanya hvo pia tia misukosuko tu jamaa atakaa kimya tu
Kuiweka serikali mfukoni na kuwa na hela nyingi ni vitu viwili tofauti. Ubongo wako una tatizo la kufikiri na kutofautisha mambo.
 
Kipindi cha nyerere kuna ndume moja ilijotokeza na kusema Ina pesa kuzidi serikali
Tena alipita njiani akijinadi kuwa serikali yote ipo mfukoni mwake

Hakika Mwl nyerere alihudhunika saaanaa na hatimaye akasema
"Ni nani huyu awezaye kusema serikali yote iko mfukoni mwake je ana mfuko mkubwa kiasi Gan?"
Basi Mwl aliamua kumkamata jamaa na kumtia misukosuko Sana Sana
Mapadiri na maaskofu wakaingilia Kati et Mwl mwachie Mwl mwachieeeeee
Basi nkamwachia kwa masharti na kwa kuwa alkuwa bepari akamwambia NAKUACHIA LAKINI USIONEKANE NDANI YA AFRIKA MASHARKI ..

JPM Fanya hvo pia tia misukosuko tu jamaa atakaa kimya tu
Kawadanganye watoto wenzio,halafu msiwe mnakaa kwenye kahawa mnasikiliza ndio mnatuletea huku uongo
 
tubuni kabla mwaka haujaiha ili mwaka ujao muwe salama

Baada ya toba ya dikteta uchwara na hawa nao wanatakiwa kutubu kwa kumshuhudia mtu uongo......

Magufuli anaitia nchi kwenye laana hivyo ana hitaji toba ya kweli

e97f93ed531336073c58d7fd445367c2.jpg
 
Kakobe kaitafuta kiki kwa utawala huu wa JPM na kaipata kwani kwa wiki 2 nzima anatajwa tajwa na vyombo vya habari alikuwa kafunikwa na Gwajima tangu 2014.
Sasa kaamua atoke vipi na kweli katoka
 
Hakusema kuwa ana pesa kuliko serekali, bali serekali yote ipo mfukoni mwake. Muktadha mzima haukuwa pesa! Vinginevyo unachochea tu
Aliyesema ana pesa ya kuilisha serikali kwa muda wa miaka 2 ni Mwamboka, miaka ya utawala wa Ali Hassan Mwinyi, pamoja na kina Dewji kumbe walikuwa wakwepa kodi wa kufa mtu,
Yoyote anaejitapa kuwa na pesa kuliko serikali ni mkwepa kodi, au anachokipata hakitolei jasho, na utakuta wafanyakazi wake au raia wake au waumini wake ni maskini wa kutupwa! na ndio maaana maandiko yanasema "Tajiri kuingia peponi ni sawa na ngamia kupenya kwenye tundu la sindano"
Sasa wanaomshabiki Kakobe kuwa na pesa kuizidi serikali.... maana yake kusema yeye ni tajiri, tajiri askofu wewe muumini wake.... jiulize mara 2mbili
 
Kakobe kawapiga za utosini kwelikweli TRA hakukaliki,polisi usingizi umepaa,Lumba nako viti vinawaka Moto mpaka mmeanza kufikria kufukua makaburi ambayo mulisema hamtayafukua.
Kazima kiki zote za 2017
 
Kakobe kaitafuta kiki kwa utawala huu wa JPM na kaipata kwani kwa wiki 2 nzima anatajwa tajwa na vyombo vya habari alikuwa kafunikwa na Gwajima tangu 2014.
Sasa kaamua atoke vipi na kweli katoka
Imeua kiki zote,kina babu seya, Shika,hamahama.nk.
 
Watu Kama akina kakobe walikuwepo tu
Kwamba ana hela kuzid serikali

usipotoshe historia, hakuna aliyeongelewa kusema ana hela kuliko serikali ya Nyerere, lead post ya thread yako ina historia ya uongo

Alisema ameiweka serikali mfukoni.

Hatujui alisema.

Nyerere alisema Mgiriki kasema.

Nyerere nae, kama Magufuli, akahangaika nae mtaani kutuma state security police kumkwida.

Hapako kwenye penal code ya Nyerere wala ya Magufuli panaposema kujigamba dhidi ya serikali ni jinai. Nyerere alimpa hukumu ya kifungo bila mashtaka. Lakini tunaambiwa Nyerere alikuwa kwenye Fabian Society debate forums Edinburgh University. Lakini bado, masikini ya Mungu, hakupata exposure ya mambo haya ya haki za watu.

Marais wa dunia ya tatu zahma tupu, hawajiamini, wanatunisha misuli lakini dhaifu.
 
Kuna mtu yeyote mwenye history ya yule bwana wa Mara aliyetaka kutangaza Jamhuri yake mara tu baada ya vita ya Kagera?
 
Back
Top Bottom