Saguda47
JF-Expert Member
- May 1, 2016
- 10,758
- 18,594
kwa hiyo rais aache tu kufuatilia haya mambo?Mikataba ya kinyonyaji unaweza kuipinga mahakamani au ukamwita aliyekuzidi kete mkakaa mezani mkarekebisha,mpaka sasa ni Acacia tu ndiye kashika mpini sisi tumeshika makali