Hata mtoto wa chekechea anajua alichoongea Dr Slaa kwenye mdahalo ITV | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Hata mtoto wa chekechea anajua alichoongea Dr Slaa kwenye mdahalo ITV

Discussion in 'Uchaguzi Tanzania' started by Mantissa, Oct 24, 2010.

 1. Mantissa

  Mantissa JF-Expert Member

  #1
  Oct 24, 2010
  Joined: Jul 24, 2010
  Messages: 870
  Likes Received: 27
  Trophy Points: 45
  Wapenwa wazalendo wa nchi hii, nashawishika kusema kuwa hata mtoto wa elimu ya awali anajua ukweli aliotoa Dr Slaa jana kwenye mdahalo. Huyu jamaa ni kiongozi, habahatishi hata kidogo. Na wale wote wanaoshabikia CCM irudi madarakani (mimi ni mwana CCM mfu), hawa wamerogwa kabisaaa, kama akina MS.
  Chonde chonde wazee kwa vijana, tukamchague Dr Slaa. Utampigia vipi kura mhujumu wa nchi kama hujarogwa? Let us be serious, kura yako ni maisha yako. Eti JK anajisifia kunywa chai na Obama, is it? Tumepata kiongozi mwenye hekima na busara, hebu tumpe kura Dr Slaa kwa maendeleo yetu.
   
 2. MTWA

  MTWA JF-Expert Member

  #2
  Oct 24, 2010
  Joined: Aug 5, 2009
  Messages: 1,024
  Likes Received: 53
  Trophy Points: 145
  Nadhani ni mhimu sana mfano wale JF waliompigia kurra JK wageuke sasa, hasa tarehe 31 October wampigie mtu mwenye mtizamo.
  Pia sisi sote tuhamasishe watu wamchague DR Slaa ili angalau tuondoke hapa tulipo twende mbele kidogo
  I am sure lazima tutapiiga hatua kubwa sana kutoka maskini hadi sehemu fulani hata kama siyo tajiri lakin someone noticeable/recognizable in good terms.
  Siyo sasa wahindi kibao wanatuona mabwege, na wengine kibao, huku sisi wenyewe tukididimia kila sehemu.
  hamasisheni mmoja baada ya mweingine.
  LAKINI HAKUNA KULALA HADI KIELEWEKE
   
Loading...