Hata Mobutu alisifiwa mno, alikuwa akitembea na wanamuziki ktk msafara kwa ajili ya kumsifu njiani

Dogo ungekuwa karibu ningekuchapa vibao,alafu nikakupeleka kwa daktari ili upimwe akili. Yaani rais wa namna ya JPM unamfananisha na Mobutu? Umeshamsikia anapanda ndege kwenda Uswiss kula bata? Umeshasikia amehamisha pesa za umma kwenda Uswiss?
Trilion 1 ilikwenda wapi?.
 
[SUB]Ndugu zangu wapenda mabadiliko,[/SUB]
[SUB]Tusitishwe na haka kakundi kanakoibuka ambako kanamsifu sana masihi wa Lumumbah.[/SUB]

[SUB]sababu ziko wazi.[/SUB]
[SUB]-woga[/SUB]
[SUB]-kusaka teuzi[/SUB]
[SUB]-bendera fuata upepo[/SUB]
[SUB]-kumdhihaki "yesu" ajione yuko juu huku wakimcheka.[/SUB]

[SUB]Tukumbuke pia hata Mobutu, kuku mbendu wa zabanga, dhalimu wa iliyokuwa Zaire, Sasa DRC naye alikuwa na tabia kama za huyu yesu wetu.[/SUB]

[SUB]kuandaa watu was kumsifu!!!!!!!!!![/SUB]
[SUB]shame!!![/SUB]
🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣
Mtatumia mifano yote ila waTz tuko na jpm...
 
Back
Top Bottom