Wakudadavuwa
JF-Expert Member
- Feb 17, 2016
- 17,506
- 15,997
Ndugu zangu,
Kuna kila dalili Mnyika pia akafuata nyayo za makatibu wakuu waliomtangulia, alianza Dr.Walid Kaburu (RIP), akafuata Dr.Slaa, na sasa Dr.Mashinji ni ngumu ukiwa mweledi ukabakia Chadema.
Kuna shida mahali, si ndogo ni kubwa, hawa makatibu wakuu wameacha kovu kubwa na Chadema ikiendelea kukaza shingo zitakatika.Hata Mnyika si mwenye furaha, anapelekwa mzobemzobe, amekuwa na msongo wa mawazo, muda ukifika nayeye atabwaga manyanga.
Narudia tena, Makatibu wakuu hawa wameshika waya wa betri, tulionya tukapuuzwa.