hata mkiwakamata na kuwaua, hamtawamaliza woote. | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

hata mkiwakamata na kuwaua, hamtawamaliza woote.

Discussion in 'Jukwaa la Siasa' started by opwa, Jun 6, 2011.

 1. opwa

  opwa Member

  #1
  Jun 6, 2011
  Joined: Jun 10, 2010
  Messages: 66
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  hali halisi iliyop hapo tanzania inaonyesha dhahili kuwa ccm wamepotea na hawaijui NEW POLITICAL STYLE & NEW PUBLIC MANAGEMENT, sasa kila mtetezi wa haki za wanyonge anatafutiwa kila hila na aangamizwe. wangejua kuwa ule uoga na ubwenyenye wa watanzania wale wa 1960's na 1980's unatoweka day to day na unachangiwa na matendo ya viongozi na amri zao zinazo tokomeza kabisa haki za binadam.ccm hili kaburi mnalo jichimbia litawatosha waato mpaka vipandikizi vyenu maofisini, humu jf, mashuleni , nje ya nchi, na hata mitaani.
  mungu hawaachi wenye shida. tunashida ya kuwatoa nyie magamba na mtang'oka tuu. just wait n preview the game
   
Loading...