Hata Mbowe akiomba msamaha ataitwa mwanaume

Aaron Arsenal

JF-Expert Member
Jul 24, 2014
20,906
2,000
Hata Mbowe angejitokeza bayana akasema, nimesikitishwa na mazungumzo yangu na wema kuvuja, hivyo nitajitahidi kuhakikisha kuwa hilo halitokei tena kwa maslahi mapana ya familia yangu, chama changu na watanzania kwa ujumla tungemuita MWANAUME badala ya sasa hivi anavyoitwa mzinzi.

Ni utaratibu wa kawaida sana, ukikubali kurejelea makosa na kuyatafutia ufumbuzi, ukifanya hivyo ni heshima kubwa. Ndiyo maana Msando alipewa heshima yake kwa kukiri uzinzi na Gigy Money na kuridhia kuwajibika. HUKU kanda ya ziwa mtu anayejitokeza na kulikabili tatizo badala ya kujificha au kulikimbia tunamuita mwanaume

# CanYouFlyToKia ??
Magoiga SN
 

Perfectz

JF-Expert Member
May 17, 2017
7,137
2,000
Hayo ni mambo ya kifamilia zaidi,sidhani kama kuna sheria inayomkataza kiongozi wa siasa kutongoza au kutembea nje ya ndoa.This is family matters
 

gbefa

JF-Expert Member
Jun 1, 2016
3,584
2,000
Sijui nicomment nini hapa maana hizi ndoto za saa nne asubuhi hizi..
 

Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Top Bottom