Katikomile
JF-Expert Member
- Jul 12, 2007
- 471
- 74
Wadau, mimi huwa najiuliza kama kuna umuhimu wa kuing'ang'ania hii lebo ya kwenye suti eti ili mradi suti yako ionekane ni brand new na haijashonwa mwenge? Nafikiri hili liliwahijadiliwa kwenye michuzi japo sina uhakika hapa JF!
Nimeshangaa kumwona na Celebrity wetu, Maulidi Baraka wa Kitenge, Jezi Namba 9 mgongoni, naye anadunda na lebo kwenye suti yake.
Hapa ilikuwa ni sherehe ya kuukaribisha mwaka mpya weekend hii pale Movenpick hotel.
Nawasilisha!!!!!!