Hata Maulidi Kitenge?

Katikomile

JF-Expert Member
Jul 12, 2007
471
74
Wadau, mimi huwa najiuliza kama kuna umuhimu wa kuing'ang'ania hii lebo ya kwenye suti eti ili mradi suti yako ionekane ni brand new na haijashonwa mwenge? Nafikiri hili liliwahijadiliwa kwenye michuzi japo sina uhakika hapa JF!

Nimeshangaa kumwona na Celebrity wetu, Maulidi Baraka wa Kitenge, Jezi Namba 9 mgongoni, naye anadunda na lebo kwenye suti yake.

Hapa ilikuwa ni sherehe ya kuukaribisha mwaka mpya weekend hii pale Movenpick hotel.

Nawasilisha!!!!!!

kitenge.jpg
 
Attachments

  • PAMBA[1].jpg
    PAMBA[1].jpg
    10.6 KB · Views: 143
si watu muwe mnaangalia thread za kuanzisha, maana si lazima uanzishe thread. whats this now?
 
Wadau, mimi huwa najiuliza kama kuna umuhimu wa kuing'ang'ania hii lebo ya kwenye suti eti ili mradi suti yako ionekane ni brand new na haijashonwa mwenge? Nafikiri hili liliwahijadiliwa kwenye michuzi japo sina uhakika hapa JF!

Nimeshangaa kumwona na Celebrity wetu, Maulidi Baraka wa Kitenge, Jezi Namba 9 mgongoni, naye anadunda na lebo kwenye suti yake.

Hapa ilikuwa ni sherehe ya kuukaribisha mwaka mpya weekend hii pale Movenpick hotel.

Nawasilisha!!!!!!

Jana hata Isack Gamba nilimwona na mlebo wake kwenye kipindi cha asubuhi njema.
 
Wadau, mimi huwa najiuliza kama kuna umuhimu wa kuing'ang'ania hii lebo ya kwenye suti eti ili mradi suti yako ionekane ni brand new na haijashonwa mwenge? Nafikiri hili liliwahijadiliwa kwenye michuzi japo sina uhakika hapa JF!

Nimeshangaa kumwona na Celebrity wetu, Maulidi Baraka wa Kitenge, Jezi Namba 9 mgongoni, naye anadunda na lebo kwenye suti yake.

Hapa ilikuwa ni sherehe ya kuukaribisha mwaka mpya weekend hii pale Movenpick hotel.

Nawasilisha!!!!!!
Boss mbona hata Mwenge wanabandika tu!!
 
si watu muwe mnaangalia thread za kuanzisha, maana si lazima uanzishe thread. whats this now?

Si watu muwe mnaangalia/mnachagua thread za kusoma, thread gani sasa hii unasoma wakati haina umuhimu kwako??
 
si watu muwe mnaangalia thread za kuanzisha, maana si lazima uanzishe thread. whats this now?

You must be SHE, ndio maana huoni umuhimu wa hii thread, kwani tunaongelea lebo za kwenye suti za kiume!
 
kwangu mimi haina tofauti iwe imeshonwa manzese au kijichi kilichobora ni nguo anayovaa mtu ikampendeze kuvaa lebo eti tu kwa kuwa uonekana kuwa imetoka majuu ni kama ushamba tu. kwanza inawezekana kabisa kanunua ya mtumba akaipeleka dry-cleaner. ukizingatia siku hizi mafundi wengi wakishona nguo wanaweka lebo. hata mimi nikishona hata vitenge nawekewa lebo na fundi wangu. kwa hiyo sioni cha ajabu.
 
Wadau, mimi huwa najiuliza kama kuna umuhimu wa kuing'ang'ania hii lebo ya kwenye suti eti ili mradi suti yako ionekane ni brand new na haijashonwa mwenge? Nafikiri hili liliwahijadiliwa kwenye michuzi japo sina uhakika hapa JF!

Nimeshangaa kumwona na Celebrity wetu, Maulidi Baraka wa Kitenge, Jezi Namba 9 mgongoni, naye anadunda na lebo kwenye suti yake.

Hapa ilikuwa ni sherehe ya kuukaribisha mwaka mpya weekend hii pale Movenpick hotel.

Nawasilisha!!!!!!
Yaani wewe ni bonge la kiazi, mimi nilifikiri label ya kununing'inia kama ile ya ngwasuma au twanga! yaani unataka kuniambia kama suit yangu ni French connection au Blazer nikae chini na wembe nianze kubandua kile ki label. Kwa taarifa yako watu wanavaa label sio hilo fabric unaloliona! Unataka kutuambia hata kwenye hizo capelo za kina Jay-Z eti umwambie atowe hiyo NY sio! Wewe wa kishimundu kweli
 
Basi naona wewe ndio kilaza kweli kweli.

Hizo lebel ni kwa ajili ya kuku -convience kuwa imetoka wapi. Baada ya kufanya uamuzi wa kununa unatakiwa uibandue maana imewekwa temporary tu. Ukiendelea kuivaa unaonekana mshambaaa lakini kwa wajuoao tu sio kama wewe.
 
Mbona hiyo simple sana kumbe lebo kwenye suti siku hizi dili dah unabandika tu
 
Wadau, mimi huwa najiuliza kama kuna umuhimu wa kuing'ang'ania hii lebo ya kwenye suti eti ili mradi suti yako ionekane ni brand new na haijashonwa mwenge? Nafikiri hili liliwahijadiliwa kwenye michuzi japo sina uhakika hapa JF!

Nimeshangaa kumwona na Celebrity wetu, Maulidi Baraka wa Kitenge, Jezi Namba 9 mgongoni, naye anadunda na lebo kwenye suti yake.

Hapa ilikuwa ni sherehe ya kuukaribisha mwaka mpya weekend hii pale Movenpick hotel.

Nawasilisha!!!!!!
Hii kitu hata mimi Mkulu inanisumbua,
Kuna wakati fulani nilikua kwenye kongamano huko magharibi ya Ulaya,nimetinga suti langu la kichina (nilinunua huko) na lebo ya Pierre Cardin,nilipoingia ndani mimi pekee yanggu ndio suti inalebo ikawa kama ina uzwa bado dukani nikakimbia msalani kuitoa na kusabisha kukaribia kuharibika kwani sikuwa na wembe nilitumia meno.
Lakini nilipo rudi bongo nikakuta watu wanavaa na malebo sasa hata sijui nivae na labo au la ila !
 
You must be SHE, ndio maana huoni umuhimu wa hii thread, kwani tunaongelea lebo za kwenye suti za kiume!
unajua sina shida na context ya thread, shida yangu ni mtu anapoamua kuingiza jina la mtu, kwa kesi yako ungesema tujadili kama lebo ya suit inatakiwa itolewe au isitolewe ingeeleweka kwangu lakini ukishaamua kumjadili mtu inakuwa too personal, and you never know may be i am his wife or cousin or.......and btw, suti za kiume naziuza so its not true that iam that much ignorant kuhusu suti za kiume. You can place order through pm just in case:rolleyes:
Na kama nimekukwaza, kiustarabu kabisa i am sorry, i didnt mean to!
 
Jamani hizi lebo it is original zimeshonewa habo kama lebo nyingine za kwenye kola za mashati, sasa ukinunua itabidi uibandue halafu uache kama suti imechanika au kuna kama kauzi fulani kamebaki au? PLEASE tuangalie mambo mengine
 
unajua sina shida na context ya thread, shida yangu ni mtu anapoamua kuingiza jina la mtu, kwa kesi yako ungesema tujadili kama lebo ya suit inatakiwa itolewe au isitolewe ingeeleweka kwangu lakini ukishaamua kumjadili mtu inakuwa too personal, and you never know may be i am his wife or cousin or.......and btw, suti za kiume naziuza so its not true that iam that much ignorant kuhusu suti za kiume. You can place order through pm just in case:rolleyes:
Na kama nimekukwaza, kiustarabu kabisa i am sorry, i didnt mean to!

kwa kuwa Mkulu Carmal,amesema naziuza basi atuambie,atupe ushauri je tunavaa nazo au tunaondoa?
majibu yako ni muhimu ili ku-spare sisi wengine kuonekana washamba
 
Yaani wewe ni bonge la kiazi, mimi nilifikiri label ya kununing'inia kama ile ya ngwasuma au twanga! yaani unataka kuniambia kama suit yangu ni French connection au Blazer nikae chini na wembe nianze kubandua kile ki label. Kwa taarifa yako watu wanavaa label sio hilo fabric unaloliona! Unataka kutuambia hata kwenye hizo capelo za kina Jay-Z eti umwambie atowe hiyo NY sio! Wewe wa kishimundu kweli

Mbona baba wa Taifa halikuwa hakulupuki hivyo mkuu? Unaonaje ubadilishe hapo kwenye avatar?

Mkuu, many thanks kwa matusi yako MR. GRITI SINKER wa JF!

Kama ni Blazer, mimi ninazo za kutosha na hakuna hata yenye mlebo unaoufagilia!

Ndio maana nikasema umekurupuka japo umetumia picha ya Nyerere (au unahitaji total ban?) Mara unasema watu wanatumia lebo sio hiyo fabric, sasa mimi nimeongelea ipi na wewe unaongelea ipi? Ushawai kumwona hata Jayz, Tiger Wood, 50cent ama R. Kelly kakupigia suti na mlebo unaninginia.

Kuna tofauti na lebo za kwenye caps mzee. You have gone too far mkuu, hadi utasema nikabandue na neno prado kwenye gari yangu?

LEARN TO CHEW BEFORE YOU SWALLOW!
 
Wadau, mimi huwa najiuliza kama kuna umuhimu wa kuing'ang'ania hii lebo ya kwenye suti ........

Nimeshangaa kumwona na Celebrity wetu, Maulidi Baraka wa Kitenge, Jezi Namba 9 mgongoni, naye anadunda na lebo kwenye suti yake.

.......

Haihusu jamani. Labda kaazima dukani, atazirudisha iendelee kuuzwa. Usilolijua kamuulize mhusika.
 
Similar Discussions

0 Reactions
Reply
Back
Top Bottom