AMINATA 9
JF-Expert Member
- Aug 6, 2011
- 2,120
- 641
kwa wale wanaodate kupitia mitandao sasa hapo ndio mtu anakuambia mm niko na 27,engineer upande wa civil,ni mrefu wastani,sio mnee wala mwembamba so kama umemkubali yy anakutumia invitation uende huko aliko then ww wamkuta ndio anakusubiria huku mkononi yuko na permanent settlement kwa ajili yako
kwa demu anakuambia yy ni modal huko nchini kwao kazi kwako sasa