hata kwa dawa ctaki

AMINATA 9

JF-Expert Member
Aug 6, 2011
2,120
640

kwa wale wanaodate kupitia mitandao sasa hapo ndio mtu anakuambia mm niko na 27,engineer upande wa civil,ni mrefu wastani,sio mnee wala mwembamba so kama umemkubali yy anakutumia invitation uende huko aliko then ww wamkuta ndio anakusubiria huku mkononi yuko na permanent settlement kwa ajili yako
kwa demu anakuambia yy ni modal huko nchini kwao kazi kwako sasa
 
Attachments

  • jjj.jpg
    jjj.jpg
    4.9 KB · Views: 850
  • imageshh.jpg
    imageshh.jpg
    8.2 KB · Views: 826
mtu hata nyeti kuziona tabu yabidi aajiri wa kumnyoa loh!
 
mtu hata nyeti kuziona tabu yabidi aajiri wa kumnyoa loh!

hawangaikagi Amy, jamaa huwa wanatumia kioo wakati wa kunyoa manyoya ya huko mahala. Wadada wenye maumbo makubwa kama huyo ndo wanaofaa kufanya uchangudoa, hapo mwanaume mwenye ukame wekewa mafuta kwenye mapaja then yanabananishwa ye akijua viungo vimekutana kumbe ni mapaja tu. Akishamaliza, anapewa chake biashara inaendelea, teteteteteeeee!
 
Utakuta akiambiwa punguza kula, anavyokuwa mkali utadhani kaambiwa kesho ndo mwisho wa maisha yake hapa duniani
 
hawangaikagi Amy, jamaa huwa wanatumia kioo wakati wa kunyoa manyoya ya huko mahala. Wadada wenye maumbo makubwa kama huyo ndo wanaofaa kufanya uchangudoa, hapo mwanaume mwenye ukame wekewa mafuta kwenye mapaja then yanabananishwa ye akijua viungo vimekutana kumbe ni mapaja tu. Akishamaliza, anapewa chake biashara inaendelea, teteteteteeeee!
haaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaa
 
huyo me akimaliza haja kubwa shida sana kujisafisha, mkono haufiki, nazani ameajiri mtu wa kazi hiyo, daah pole mwaya.
 
huo uzito ni full tabu yani! Ukute wife ndo umemwoa akiwa na umbo la kawaida...ulafi wake mara ukamfikisha hapo,sijui utafanyaje?
 
kwa hiyo mnawatisha dada zetu na kaka zetu wasi-date kwa mtandao??
 
Lakini huwa naskia eti wamama km hawa wakiolewa huwa wanatulia hao..je ni kweli?
 
huo uzito ni full tabu yani! Ukute wife ndo umemwoa akiwa na umbo la kawaida...ulafi wake mara ukamfikisha hapo,sijui utafanyaje?

matizi tu unamkimbiza ufukweni kila jioni au dawa za kichina na kuna slim belt siku hz na unamlisha salad na michemsho mwanzo mwisho..
 
Similar Discussions

0 Reactions
Reply
Back
Top Bottom