Hata kuku hufia kifuani, haya ndio mapenzi

Bwana Mapesa

JF-Expert Member
Apr 28, 2011
2,551
1,777
Nilidhani wale wadada wanaoangukiwa na wazee wakati wa mambo yetu ni kwetu tu binadamu. Leo imemtokea Jogoo wangu live, bahati nzuri nimewahi kurekodi tukio.
Halafu imenionyesha jinsi gani wadada walivyokuwa hawana msaada hasa mwanaume anapopatwa na hali kama hii, angalia hilo koo hapo lilivyokimbia baada ya Jogoo kuanza pepesuka.

 
1 Reactions
Reply
Back
Top Bottom