Kanyafu Nkanwa
JF-Expert Member
- Jul 8, 2010
- 849
- 103
Unategemea nini? Wamekuja na wazazi wao kutafuta T-shirt, kofia, khanga na vilemba vya bure. Na bahasha za Sh.2,000/= zikitembezwa nyumba kwa nyumba unategemea nini kutoka kwa walalahoi?Sintashangaa maana ni matunda ya shule za kuchakachua elimu aka shule za kata