Lisu nilikua simuelewi ila sasa namuelewa sana usipomuelewa leo utamuelewa kesho, The guy is genius anatambua mambo mapema sana hata kabla wengi wetu hatujaona, Anafaa kutumiwa kama dira na mwenye mamlaka.
Sent using Jamii Forums mobile app
Kila mtu ni MFU mtarajiwaNa ndiko anakoelekea huyo Lissu wenu....kuwa mfu.
Mbona HUJAMTAJA.Naam, hata yeye huu ujumbe unamhusu.
Hata kama tuna haki ya kuwasema wale wote tuliowapa mamlaka...
Hata kama tuna haki ya kuwakosoa wale wote tuliowapa mamlaka...
Hata kama tuna haki ya kuwakemea wale wote tuliowapa mamlaka...
Wewe Tundu Lissu wewe...kuwa tu na haki ya kufanya jambo fulani haimaanishi ndo ujitoe kabisa fahamu na kuanza kuropoka ropoka kama mwendawazimu.
Kuwa tu na haki ya kusema, kukosoa, na kukemea haimaanishi ndiyo usitumie hekima na busara katika kufanya hivyo.
Ni lazima uwe mwangalifu. Ni muhimu kuchagua maneno yako vizuri hususan kama wewe ni mmoja wa viongozi wenye ushawishi kwenye jamii.
Kusema rais Magufuli anaendesha nchi kwa upendeleo wa kikabila na kikanda ni uongo. Ni uzushi. Na ulikosea.
Hata kama una haki ya kusema hayo uliyoyasema, huna haki ya kuzusha mambo ili tu ujipatie pointi za kisiasa.
Leo hii likitokea sokomoko kati ya wananchi wa kanda ya ziwa na wa kwingine kisa hayo maneno yako, utalizuia? Si ajabu utajificha kama ulivyojificha mahakamani kule Dodoma ukiogopa kupandishwa kwenye Difenda.
Kuwa na haki si sababu ya kuacha kuwa makini. Jirekebishe.
Kama katibu Mkuu si MPWA wa JPM basi akanushe!Kupinga uonevu si kuzusha mambo.
Nyani naona yale mabango umeshatandika kwenye kitanda sasahivi unalala kwenye matandiko ya mabango taratibu kiulaini.Lugha kama hizi kwa mtukufuwenu ni ya kulamba tu kama Asali.Ben si ajabu kapotezwa na Mbowe na CHADEMA yake....
Hata kuanzisha harambee kwenye GoFundMe mchangishe pesa za kutumika kumtafuta hamjafanya.
Aibu.
Unataka me nijiingize ni mtawala????Naona uelewa wako mdogo sana kama panzi kama siyo Nyumbu....unaamua kutuita nyie wewe unajiondoa ukifikiri hilo unaloshadadia likibuma halikuhusu, hata kina Tsavangirai wakat wanapiga debe Zimbabwe itengwe waliwaita watawala nyie wakijua Zimbabwe ikitengwa wao watakuwa salama lkn sasa kama siyo wao bas ndugu na jamaa zao wanateseka huku Mugabe akitanua kwa sana, sherehe dailly state house..fikiri kwa kutumia bongo yako acha kuitika kila nyimbo inayopigwa
Sent using Jamii Forums mobile app
Mbona JPM hajahojiwa kuwaita VILAZA WENZIE?Akifungwa mtasema kaonewa.
Hata kama tuna haki ya kuwasema wale wote tuliowapa mamlaka...
Hata kama tuna haki ya kuwakosoa wale wote tuliowapa mamlaka...
Hata kama tuna haki ya kuwakemea wale wote tuliowapa mamlaka...
Wewe Tundu Lissu wewe...kuwa tu na haki ya kufanya jambo fulani haimaanishi ndo ujitoe kabisa fahamu na kuanza kuropoka ropoka kama mwendawazimu.
Kuwa tu na haki ya kusema, kukosoa, na kukemea haimaanishi ndiyo usitumie hekima na busara katika kufanya hivyo.
Ni lazima uwe mwangalifu. Ni muhimu kuchagua maneno yako vizuri hususan kama wewe ni mmoja wa viongozi wenye ushawishi kwenye jamii.
Kusema rais Magufuli anaendesha nchi kwa upendeleo wa kikabila na kikanda ni uongo. Ni uzushi. Na ulikosea.
Hata kama una haki ya kusema hayo uliyoyasema, huna haki ya kuzusha mambo ili tu ujipatie pointi za kisiasa.
Leo hii likitokea sokomoko kati ya wananchi wa kanda ya ziwa na wa kwingine kisa hayo maneno yako, utalizuia? Si ajabu utajificha kama ulivyojificha mahakamani kule Dodoma ukiogopa kupandishwa kwenye Difenda.
Kuwa na haki si sababu ya kuacha kuwa makini. Jirekebishe.
Mfu ni alcohol, kwakuwa kila hotuba atoayo anashout, amezoea u hutu.Na ndiko anakoelekea huyo Lissu wenu....kuwa mfu.
Hata kama tuna haki ya kuwasema wale wote tuliowapa mamlaka...
Hata kama tuna haki ya kuwakosoa wale wote tuliowapa mamlaka...
Hata kama tuna haki ya kuwakemea wale wote tuliowapa mamlaka...
Wewe Tundu Lissu wewe...kuwa tu na haki ya kufanya jambo fulani haimaanishi ndo ujitoe kabisa fahamu na kuanza kuropoka ropoka kama mwendawazimu.
Kuwa tu na haki ya kusema, kukosoa, na kukemea haimaanishi ndiyo usitumie hekima na busara katika kufanya hivyo.
Ni lazima uwe mwangalifu. Ni muhimu kuchagua maneno yako vizuri hususan kama wewe ni mmoja wa viongozi wenye ushawishi kwenye jamii.
Kusema rais Magufuli anaendesha nchi kwa upendeleo wa kikabila na kikanda ni uongo. Ni uzushi. Na ulikosea.
Hata kama una haki ya kusema hayo uliyoyasema, huna haki ya kuzusha mambo ili tu ujipatie pointi za kisiasa.
Leo hii likitokea sokomoko kati ya wananchi wa kanda ya ziwa na wa kwingine kisa hayo maneno yako, utalizuia? Si ajabu utajificha kama ulivyojificha mahakamani kule Dodoma ukiogopa kupandishwa kwenye Difenda.
Kuwa na haki si sababu ya kuacha kuwa makini. Jirekebishe.
Wewe unaonaje uwezo wa kuongea naye Mungu juu ya kifo cha mtu?Na ndiko anakoelekea huyo Lissu wenu....kuwa mfu.
...Heri yako wewe utakayeishi milele..Na ndiko anakoelekea huyo Lissu wenu....kuwa mfu.
ww bwege si unajifanyaga unaishi marekani,mambo ya tz yanakuhusu nini?
Huu ni mtazamo wako binafsi sio wa kila mtu kwakuwa wengine wanayaona kabla ya kuambiwa na Tundu Lissu.
Uchochezi ni kusema/kupandikiza kitu ambacho hakipo lakini kama kipo na mtu akasaidia kukionesha kwa wasio kiona je kasema uongo je kachochea?!
Ingekuwa heri watu wakakemea maovu kuliko kukemea anayekemea maovu kisa anayetenda maovu mnamuogopa.
Hata kama tuna haki ya kuwasema wale wote tuliowapa mamlaka...
Hata kama tuna haki ya kuwakosoa wale wote tuliowapa mamlaka...
Hata kama tuna haki ya kuwakemea wale wote tuliowapa mamlaka...
Wewe Tundu Lissu wewe...kuwa tu na haki ya kufanya jambo fulani haimaanishi ndo ujitoe kabisa fahamu na kuanza kuropoka ropoka kama mwendawazimu.
Kuwa tu na haki ya kusema, kukosoa, na kukemea haimaanishi ndiyo usitumie hekima na busara katika kufanya hivyo.
Ni lazima uwe mwangalifu. Ni muhimu kuchagua maneno yako vizuri hususan kama wewe ni mmoja wa viongozi wenye ushawishi kwenye jamii.
Kusema rais Magufuli anaendesha nchi kwa upendeleo wa kikabila na kikanda ni uongo. Ni uzushi. Na ulikosea.
Hata kama una haki ya kusema hayo uliyoyasema, huna haki ya kuzusha mambo ili tu ujipatie pointi za kisiasa.
Leo hii likitokea sokomoko kati ya wananchi wa kanda ya ziwa na wa kwingine kisa hayo maneno yako, utalizuia? Si ajabu utajificha kama ulivyojificha mahakamani kule Dodoma ukiogopa kupandishwa kwenye Difenda.
Kuwa na haki si sababu ya kuacha kuwa makini. Jirekebishe.
Lakini ujumbe wako ulimlenga Tundu Lissu peke yake maana umemtaja kwa jina lake.Naam, hata yeye huu ujumbe unamhusu.
Lakini ujumbe wako ulimlenga Tundu Lissu peke yake maana umemtaja kwa jina lake.