IsangulaKG
JF-Expert Member
- Oct 14, 2010
- 706
- 385
Kwanza napenda Kuwashukuru watu wote waliokuja na Wazo la Kuanzisha Chama cha CHADEMA. Nasema hivyo kwa sababu katika Historia ya siasa za Tanzania,Ni Chadema pekee iliyoleta Mapinduzi Makubwa ya Kidemokrasia nchini. Kwanza Madiwani wengi zaidi wa upinzani wameshinda,Wabunge wengi zaidi wa upinzani wanaingia Bungeni.Sijali kama Rais katoka katika Kambi ya Kijani lakini Kwangu MSHINDI WA DEMOKRASIA ni Dr. Slaa,shujaa pekee aliyeleta mabadiliko katika sura ya siasa za Tanzania na kuzima Ngonjera za CCM za ushindi katika Udiwani na Ubunge
KIKWETE AJIFUNZE NINI KUTOKANA NA MATOKEO YA UBUNGE?
Kwanza Kikwete atambue kuwa hadi Vijijini watu wameamka sasa,nani alifikirikia Wasukuma wanetoa Channgamoto kwa CCM huko Maswa na MEATU? Nani alifikiria Wakara na Wakerewe huko Visiwani wangetoa Chanamoto? Kikwete anapaswa Kujifunza kuwa:
Kumbukeni Kuwa hata Kama Rais Katoka Kwao,Nguvu tuliyonayo katika Bunge na Mabaraza ya Madiwani inatosha kabisa kuleta Mabadiliko katika Nchi hiii.
Na kama CCM Ikikosea mwaka 2015 ikamleta Ole Ed Lowassa kama ambavyo source zangu zinanijulisha.. Basi Historia ya nchi itageuka kabisa.
Na pia Utulivu ndani ya Vyama ni jambo la Msingi Adui wa Chadema ni CCM na umaskini siyo Wanachadema...Tusiombane..Tusirumbane.
Nawatakieni uwakilishi mwema katika Bunge na Mabaraza ya Madiwani
Najua Dr. Slaa atakuwa Source Nzuri sana ya Data za ufisadi akiwa nje ya Bunge ili wapambanaji waliomo wapachimbe.
Mungu Ibariki CHADEMA...Mungu mbariki Dr.Slaa...Mungu Ibariki Tanzania

- Watanzania Wameichoka CCM- Dr.Slaa Kuvuna Kura Vijijini (Japo hazitoshi) ni dalili kuwa hata watu wa vijijini wameichoka CCM
- Watanzania Wamewachoka WatAwala-Kuangushwa kwa Dialo,Masha, Batilda na watawala wenine wengi ni dalili tosha kuwa Wananchi wameacha sasa Kuangalia KIJANI na sana wanataka Mabadiliko
- Watanzania wanataka Mabadiliko- Mabadiliko ya Kiuchumi yameanza kwa kuwabadilisha Viongozi