Hata kama ni shida ya usafiri, hii imezidi

Tony Laurent

JF-Expert Member
Jan 5, 2011
4,726
5,442
Hata kama ni shida ya usafiri, hii imezidi

safari kwenye buti.jpg
 
Waweza kukuta siyo shida ya usafiri imewafanya wakae mkao huo!! Labda kwao ndiyo FASHION; wanapooza fungus kwa kuwapigisha upepo wakisafiri ndani ya COMBI
 
waweza kukuta siyo shida ya usafiri imewafanya wakae mkao huo!! Labda kwao ndiyo fashion; wanapooza fungus kwa kuwapigisha upepo wakisafiri ndani ya combi
ngumu kumeza, kama mmojawapo yumo humu atakujibu
 
Back
Top Bottom