Hata kama ni kweli Boniface Jacob ndiye anayetuletea mtiririko wa kesi ya Mbowe kutokea mahakamani, kuna ubaya gani?

We ndio kilaza wa vilaza haswaa! Kuegemea upande mmoja vipi wakati mtiririko wa kesi ni maswali na majibu baina ya mawakili na mashahidi wa pande mbili! Au ulitaka upande wa pili waandike maelezo ya Mwendachato?! Mmezoea vya kunyonga vya kuchinja haviwezi! Nyau we!
Wamezoea uongo hao watu.!
 
Atatoka !!! Mnajipa matumaini karibu anakata mwezi na ndio kwanza kesi imeanza ,pale ni kesi ndogo ndani ya kesi kubwa Kama tano hata akikaa miezi minne bado atakuwa akili zimerudi akija uraiani atakuwa amekaa sawa

USSR
Haikusaidii dada

Hata akifungwa haikuongezei chochote . Mtu moja alitamani wenye mawazo tofauti naye wafe wote. Na bado akatamani kuongeza muda wa kututawala. Leo chakula ya funza . Yuko wapi ?! Alitaka kila kitu kiende kwao. Kaviacha ache Mungu aitwe Mungu na ni fundi mkuu
 
Hata mkifunga ,tunaamani sana maana walau Mambo mazito tumeyaona.Hata akifungwa tutamshukuru MUNGU kwa tote yeye mwenyewe Mungu anajua zaidi yetu sisi .Mwisho wa siku Mimi na USSR tutaonana Mbinguni tukifurahi pamoja na Magufuri
 
Inawasaidia nini kuleta mtiririko unaoegemea upande mmoja ,huo sio uandishi na mwish wa siku mbowe analiwa kichwa

USSR
Na wewe leta mtiririko unaoegemea upande unaotaka, ndio maana ya jukwaa huru.
 
Atatoka !!! Mnajipa matumaini karibu anakata mwezi na ndio kwanza kesi imeanza ,pale ni kesi ndogo ndani ya kesi kubwa Kama tano hata akikaa miezi minne bado atakuwa akili zimerudi akija uraiani atakuwa amekaa sawa

USSR
Mwezi mbona kidogo, alishawahi kaa miezi minne na hakutetereka kwenye msimamo. Rugemalira amekaa miaka zaidi ya mitano lakini leo yuko huru na anakula maisha kuliko wewe ambaye unaishi kwa kulamba miguu ya wapanda vieite
 
Mi naona alichofanya yule dada ni makosa kwa sababu polisi wanaweza kumuwinda Bon ikasababisha tukakosa habari...
 
Haikusaidii dada

Hata akifungwa haikuongezei chochote . Mtu moja alitamani wenye mawazo tofauti naye wafe wote. Na bado akatamani kuongeza muda wa kututawala. Leo chakula ya funza . Yuko wapi ?! Alitaka kila kitu kiende kwao. Kaviacha ache Mungu aitwe Mungu na ni fundi mkuu
Kwani akirudi uraiani anatusaidia nini ? Acha alale lupango huko afunzwe adabu na ulimwengu.
 
MATAGA unaona jinsi tawi B lenu la policcm linavyoaibika !

Are you taking notes or you are just yapping week in week out?
 
Nimekuta malumbano huko twitter na baafhi ya watu wanakejeli kuwa anayeandika mtiririko wa kesi ni Bonny Jacob na siyo MMM kama wengi wanavyofikiria.

Ndio nauliza, huyo Bonny kazuiwa na katiba kuripoti kesi ya Mbowe?

Mbona inakuwa nongwa?!
Nafikili Hili hatakiwi kua mjadala ,chamsingi tunafuatilia live kutoka mahakamani Basi,
 
Back
Top Bottom