Uchaguzi 2020 Hata kama ndio demokrasia, Ubunge umerahisishwa sana mwaka huu wa Uchaguzi

Tulipokosea sana ni pale tulipoamua kuipa taaluma kisogo na kuipa siasa hadhi kubwa sana

Sifa ya mbunge kitaaluma Ni kujua Kusoma na Kuandika.... Rip Prof Maji marefu.
Bunge dhaifu na litazidi kuwa dhaifu kwa Hawa watania Ni na wateule wa ndio Mzeee...
 
Magufuli alifanya makosa mawili yaliyotufikisha kwenye hiki tunachokishudia.

1.Kuwapa vyeo makada walioshindwa ubunge 2015.
2.Kuminya Uhuru wa bunge lililopita na kulifanya kuwa bunge la kusifu,kuabudi na kuishangilia Serikali.
 
Nchi hii hatuna bunge. Nina uhakika tungekuwa na ata bunge dhaifu tusingekuwa na ile sheria mbovu kuliko zote inayohusu uhujumu uchumi na utakattishaji na upigaji pasi fedha
 
bunge la 2020-2025 linaweza kuwa ni zaidi ya kichekesho kwa jinsi wabunge watakavyoteuliwa na bwana mmoja hivi mfupi
 
Ukiwafuatilia wabunge wengi wa ccm unaweza kutoa machozi kwa utendaji wao pale bungeni.

Wengi wao kazi yao ilikuwa ni kupiga vigeregere na kugonga meza tu tangu day one wanaingia bungeni.

Wabunge kama hawa hatutakiwi kuwapa tena nafasi ya kuingia tena kwenye chombo cha kutunga sheria na kupitisha maamuzi kwa mustakabali wa maisha yetu na vizazi vyetu.
Tayari vyama vingi kama si vyote vimefungua pazia kwa watia nia kuelekea ucjaguzi mkuu wa mwaka 2020.

Kumekuwa na pilikapilika za huku na kule kwa wanachama wa vyama vya siasa kutia nia ya kugombea ubunge.

Kwenye makundi sogozi kwa sasa kumejaa picha za watia nia wakijitangaza kuwa wako tayari kuwatumikia wananchi.
Cha kushangaza ni kuwa hata wasiotarajiwa kuwa wangeweza kutia nia sasa wefanya hivyo.

Wengine tunawajua uwezo wao wa kiuongozi na kiutendaji kwani tumesoma nao shuleni na vyuoni.

Ni watu ambao hata uwezo wa kujijitea wao wenyewe hawana mpaka watetewe na wenzao. Sasa mtu ambae hawezi kujisemea na kujitetea mwenyewe atamtetea nani?

Ubunge umerahosishwa sana kiasi kwamba kila mmoja anaona kama anatosha kuwa mwakilishi jimboni.

Itafika hatua huko mbele tunaweza kuwa na wabunge wasiojiweza kiasi kwamba mbunge akamaliza miaka mitano bila kuchangia chochote bungeni.

Ni wakati wa chama kuweka vigezo muhimu na vigumu kwa watia nia ili kuwa na uhakika na na hao watia nia ambao ni wabunge watarajiwa.
 
Kwa kifupi Ubunge umekuwa kitu rahisi sana kwa sasa, nadhani inatokana na utendaji wa ovyo wa bunge lililopita.
Bunge la Tz kwa sasa ni kama kijiwe cha kahawa tu mtu yoyote anaweza kuwepo.
Nakubaliana na wewe, ukianzia na utendaji wa spika hapo ndiyo utaelewa jinsi gani bunge letu liliendeshwa.
 
Wanajua safari hii watabebwa zaidi na dola ndio maana wanajitokeza wagombea wa kila aina.
 
Tayari vyama vingi kama si vyote vimefungua pazia kwa watia nia kuelekea ucjaguzi mkuu wa mwaka 2020.

Kumekuwa na pilikapilika za huku na kule kwa wanachama wa vyama vya siasa kutia nia ya kugombea ubunge.

Kwenye makundi sogozi kwa sasa kumejaa picha za watia nia wakijitangaza kuwa wako tayari kuwatumikia wananchi.
Cha kushangaza ni kuwa hata wasiotarajiwa kuwa wangeweza kutia nia sasa wefanya hivyo.

Wengine tunawajua uwezo wao wa kiuongozi na kiutendaji kwani tumesoma nao shuleni na vyuoni.

Ni watu ambao hata uwezo wa kujijitea wao wenyewe hawana mpaka watetewe na wenzao. Sasa mtu ambae hawezi kujisemea na kujitetea mwenyewe atamtetea nani?

Ubunge umerahosishwa sana kiasi kwamba kila mmoja anaona kama anatosha kuwa mwakilishi jimboni.

Itafika hatua huko mbele tunaweza kuwa na wabunge wasiojiweza kiasi kwamba mbunge akamaliza miaka mitano bila kuchangia chochote bungeni.

Ni wakati wa chama kuweka vigezo muhimu na vigumu kwa watia nia ili kuwa na uhakika na na hao watia nia ambao ni wabunge watarajiwa.
Sasa kama.bunge lina akina Mlinga, Msukuma, Lusinde, Kesi, mollel, Jenista nani anaweza kushindwa ubunge kama hao na wengine wameweza??
 
Tayari vyama vingi kama si vyote vimefungua pazia kwa watia nia kuelekea ucjaguzi mkuu wa mwaka 2020.

Kumekuwa na pilikapilika za huku na kule kwa wanachama wa vyama vya siasa kutia nia ya kugombea ubunge.

Kwenye makundi sogozi kwa sasa kumejaa picha za watia nia wakijitangaza kuwa wako tayari kuwatumikia wananchi.
Cha kushangaza ni kuwa hata wasiotarajiwa kuwa wangeweza kutia nia sasa wefanya hivyo.

Wengine tunawajua uwezo wao wa kiuongozi na kiutendaji kwani tumesoma nao shuleni na vyuoni.

Ni watu ambao hata uwezo wa kujijitea wao wenyewe hawana mpaka watetewe na wenzao. Sasa mtu ambae hawezi kujisemea na kujitetea mwenyewe atamtetea nani?

Ubunge umerahosishwa sana kiasi kwamba kila mmoja anaona kama anatosha kuwa mwakilishi jimboni.

Itafika hatua huko mbele tunaweza kuwa na wabunge wasiojiweza kiasi kwamba mbunge akamaliza miaka mitano bila kuchangia chochote bungeni.

Ni wakati wa chama kuweka vigezo muhimu na vigumu kwa watia nia ili kuwa na uhakika na na hao watia nia ambao ni wabunge watarajiwa.
Watu wanabadilika aisee yawezekana mtu ambaye ulikuwa unamuona mdhaifu kipindi cha nyuma akawa bora sasa si vizuri kujaji na kuhitimisha kuwa mtu yupo hivi kutokana na background yake ya zamani kama ulimwengu unabadilika palipokuwa na mto panakuwa nchi kavu sembuse binadamu? Acha fikira mgando.
 
Kwa wanaotegemea kugombea kupitia CCM itategemea na jamaa mmoja hivi atakavyokuwa ameamka siku hiyo ya kuteua majina.

Ombeni awe ameamkia Kisarawe siku hiyo.
 
Back
Top Bottom