Hata kama Mpira unadunda, simba hana uwezo wa kupindua matokeo leo

Pain killer

JF-Expert Member
Aug 15, 2017
14,143
21,280
Nikiwa na akili timamu bila kutumwa na mtu, nasema binafsi kuwa simba hana uwezo wa kupindua matokeo .

Hata waroge, wachinje mbuzi, kuku, kunguru, ng'ombe na takataka zote hawana uwezo wa kufunga goli 5 mbele ya wanaume Kaizer chief!

Simba mlishakosea mwanzo mkapelekewa moto wa magoli mnne, swala la kurudisha hizo goli ni ndoto ,labda mkafunge saizi kabla makabulu kutoka bonden kule kwa mandela hawajaingia uwanjani ...


Poleni sana, mliwaza kufika mbali, ila mbio zenu zimefika hapo.

Simba mwendo mmeumaliza

Uzi tayari
 
Umbumbumbu ni pamoja na kuamini kwa kupitia uchawi Simba ataifunga na kuitoa Kaizer kwa idadi kubwa ya magoli.
 
Tusubili matokeo ya vipimo vya COVID 19 kwanza! Ndiyo turufu yao iliyobaki
 
Simba walitumia uchawi wakapindua matokea ya namna hii hii dhidi ya Mufulira Wonders ya Zambia.

Simba kwa uchawi hata ikibidi afe mtu lazima wautumie.

Simba 5 Kaizer Chiefs 0
Tarehe 17/2/2013 uchawi haukufua dafu kwa Recreativo do Libolo ya Angola walipopigwa kimoja cha kuagia Dar na kufanya Jumla 5-0
 
Simba walitumia uchawi wakapindua matokea ya namna hii hii dhidi ya Mufulira Wonders ya Zambia.

Simba kwa uchawi hata ikibidi afe mtu lazima wautumie.

Simba 5 Kaizer Chiefs 0
Kaizer yenyewe team ya ma chief..
Basi sahau , safari ya simba ndo imeisha leo
Twajipanga msinu ujao
 
Back
Top Bottom