Hata kama huwezi kufikiria na hii itakushinda?-nini thamani ya utu wetu na mali zetu!! | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Hata kama huwezi kufikiria na hii itakushinda?-nini thamani ya utu wetu na mali zetu!!

Discussion in 'Habari na Hoja mchanganyiko' started by luckman, Aug 10, 2011.

 1. l

  luckman JF-Expert Member

  #1
  Aug 10, 2011
  Joined: Oct 11, 2010
  Messages: 1,202
  Likes Received: 174
  Trophy Points: 160
  Ni jambo la ajabu sana na kukera sana unapozunguka maeneo ya tanzania ukianzia masasi ukaja mbinga kiwira, njombe, ukapanda hadi ruvuma, kiwira na maeneo mengi ya nchi hii, inasikitisha sana ukiona watu wanavoishi, ukaangalia nyumba zao?chakula wanachokula, sehemu wanayolala, shule za watoto wao wanazosoma! ukichunguza kwa makini zaidi unakuta ni watu ambao wamekalia dhahabu, almasi, chokaa, makaa ya mawe, copper, u name it, na wengine wamezungukwa na mito, wengine wanakaribiana na maziwa, bahari, wengine majira kabisa na mbuga za wanyama, milima mizuri ya kuvutia, lakini nchi imeshindwa kuplay role yake ya kusaidia suala la maendeleo na badala yake ikigundulika dhahabu kinachofuata na kuwafukuza kwanza kabla ya kuwatafutia maeneo! ni udhaifu mkubwa sana!nchi ka mauriutius, wanategemea kilimo cha miwa na utalii wa ndani lakini wana kila kitu kuanzia barabara nzuri, umeme wa uhakika, afya nikimaanisha hospitali ambazo haziitaji kuonga ndo upate huduma lakini sisi hapa tumeshindwa pamoja na kuwa na mali asili kama
  1.almasi
  2.dhahabu
  3.tanzanite
  4.copper
  5.nickel
  6.makaa ya mawe
  7.gasi
  8.uranium
  9.aluminium
  10.bandari

  Mbuga za wanyama kama ifuatavyo!
  · Arusha National Park
  · Gombe Stream National Park
  · Katavi National Park
  · Kilimanjaro National Park
  · Lake Manyara National Park
  · Mafia Island Marine Park
  · Mahale Mountains National Park
  · Mikumi National Park
  · Mnazi Bay-Ruvumba Estuary Marine Park
  · Ruaha National Park
  · Rubondo Island National Park
  · Saadani National Park
  · Serengeti National Park
  · Tarangire National Park
  · Udzungwa Mountains National Park
  MIGODI YOTE ZAIDI YA KUMI! MAZIWA NA MITO!
  Jamani kweli sisi tuna sababu ya barabara zetu kuwa za vumbi asilimia 85.6%
  Tunasababu ya kuwa na shule watoto wanakaa chini???? Sisi???
  Tuna sababu ya kuwa na hospitali ambazo hazina dawa? Sisi???
  ANGALIA JIOGRAFIA YA TANZANIA NA RUTUBA YA UDONGO TULIONAO!!!!!
  TUNA HAJA KU KUINVITE WATU WAJE KUWEKEZA KWENYE KILIMO HALI IDOL CAPACITIES ZIPO ZA KUTOSHA NI KUWAWEZESHA TU??
  MWANZA SHINYANGA NA TANZANIA KWA UJUMLA TUNA SABABU YA KUNUNUA KG 1 YA MCHELE 2000/=???SISI SUKARI 2KG 1 2000?

  TATIZO NI NINI???

  MAJIBU YAKE NI MEPESI HAIITAJI KUWA GENIUS KUPASS MTIHANI HUU!

  UKIWA NA UONGOZI USIOWEZA KUBUNI VIZURI NA KUPANGA PLANI ENDELEVU ZA NCHI MATOKEO YAKE NDO HAYA!!
   
Loading...