Uchaguzi 2020 Hata CHADEMA wasiposhirikiana na ACT-Wazalendo, bado CCM itapigwa chini. Membe na Lissu “watakula vichwa vingi” vya wanachama wa CCM

Hata mimi, nikajiunga 2007. Hata forum hii kwani ingekuwa uwezo wa boss wako si ingeshafungiwa?
Bosi wangu tena? Sina chuki na CCM wala vyama vya upinzani bali nakereka jinsi tulivyokuwa na upungufu wa viongozi wazuri toka vyama vyote na inasikitisha kuona watu wenye uwezo wa kuendesha nchi wanavyokimbia siasa na kuwachia washamba na arrogant people wakichukua madaraka ndani ya serikali na vyama vya siasa.
 
Oktoba msijifanye mmeibiwa kura. Siku nyingine andika andiko fupi tuna kazi zingine za kuijenga nchi na sio kulalamika hovyo mtandaoni
 
Hivi kwanini vyombo vya habari havina uhuru? Naona ndo hasira mnakuja kimalizia humu!
 
Jamani huyu mwanzishaji uzi anaumwa tena kichaa kimekuwa sugu, amekuwa akiandika mara Kiingereza mara nne na mada ndefu sana lakini ndani upupu tu. Mnaomjibu mnapoteza time na mnafail sana
Kwanini umetumia muda wote huo kuelezea kitu kitu kisichofaa? Unaogopa inawezekana usieleweke?
 
Bosi wangu tena? Sina chuki na CCM wala vyama vya upinzani bali nakereka jinsi tulivyokuwa na upungufu wa viongozi wazuri toka vyama vyote na inasikitisha kuona watu wenye uwezo wa kuendesha nchi wanavyokimbia siasa na kuwachia washamba na arrogant people wakichukua madaraka ndani ya serikali na vyama vya siasa.
Nimekupata kiongozi!🙏🏾
 
Lazima mkuu! Kama kukiwepo na dalili kidogo tu za uchaguzi huru, siyo siri ccm itameguka kabla hata ya uchaguzi mkuu. Wait and see!

Why are you building castles in the air? CCM kuondolewa madarakani ni ndoto za mchana(day dreaming! Kama CCM 2015 haikuwepo lakini Rais Dr Magufuli alishinda sembuse wakati huu ambapo CCM upo hai?CCM imeshafufuliwa na Magufuli.
 
Duh! ccm bila polisi na tume ya uchaguzi si lolote si chochote mkuu
 
Back
Top Bottom