Hata akijipendekeza, Nape Nnauye haukubaliki

Good boy

Member
May 20, 2011
42
2
Jana from no where nape kaenda eti udom kukagua majengo ya udom, nakusema eti serikali ya ccm inataka kuyakarabati cause yameanza kuwa na ufa, ukiangalia majengo hayo yamejengwa na hao hao ccm kwa kiwango cha chini baada ya kuwakabidhi wakandarasi wa bei cheap, cjui mwanaizaya huyu katokea wapi, msaliti wa ccm na mwanzilishi wa ccj number moja. Tena nape usipazoee udom, cc ni CDM LIVE mwanzo mwisho. Tena ushindwe wewe nape.
 
yuko busy kufut agenda ya usaliti wake mwanachama wmenye kadi na moja ya CCJ hivi aliirudisha
 
mtoto wa kigogo baba yake alikuwa na cheo fulani hivi wakati fulani , kapewa cheo kwa kujuana
unaweza kumuita vuvuzela fulani hivi la ccm

Babake alikuwa mjeshi na baadaye apata nyadhifa fulani lakini mpaka mauti inamkuta kama sikosei alikuwa Naibu Katibu Mkuu wa CCM...Nakumbuka kipindi hiko mimi nilikuwa chipukizi wa CCM na tukaenda kumpokea na kufanya gwaride la kichama....Tena kama kumbukumbu yangu ni nzuri ilikuwa kipindi ya Mzee Kolimba.....Kama nitakuwa nimekosea basi nisahihishwe...
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom