VOICE OF MTWARA
JF-Expert Member
- Dec 20, 2012
- 2,778
- 1,366
Salam. Hawa jamaa ni Bora sana kwa sauti zao maridadi. Hebu nisaidieni nani Yuko juu zaidi kati yao
eddy ,Christian na ndugu zao wawili walikuwa wanakunywa gongo balaa mitaa ya sinza,Kilichomsaidia Mzee Bitchuka ni nidhamu.
Mzee watu ni family man, wakimaliza show moja kwa moja nyumbani.
Eddy na Christian niliwahi kuwaona miaka ya 90 kuna Guest walikuwa wanakaa Sinza. Kwanza walikuwa walevi kisha wagomvi. Walikuwa na ule ulevi wa ugomvi. Niliwaona kipindi wapo bendi ya Bima Lee.
eddy ,Christian na ndugu zao wawili walikuwa wanakunywa gongo balaa mitaa ya sinza,
nadhani ndio kisa cha keti kumwaga eddy, na kukimbilia mabosi wa sinza
yah kunaitwa sinza kwa bitchuka, karibu na baunsa simatani au kama unamjua kiroboMzee Bitchuka alikuwa anakaa mitaa miwili tu jirani.
Pia inawezekana Mzee Bitchuka ndio mwanamuziki wa zamani ambaye anaishi kwake na familia (Stable life) wengi umaarufu uliwalevya hawakukumbuka kujenga. Ulevi na totoz zilitawala.
yah kunaitwa sinza kwa bitchuka, karibu na baunsa simatani au kama unamjua kirobo
mwanaye bitchuka alikuwa bishoo bishoo fulani alikuwa anacheza small boys, nyumba yake kipindi anahamia ilikuwa ndio babu kubwa sinza, mbele aliweka bustani matata sana
ok nimecheza naye mpira ila mi ni sinza starsMtoto wake anaitwa Salum Bitchuka, Salum baadae alikuwa mtangazaji Arusha, Radio Uhuru n.k
ok nimecheza naye mpira ila mi ni sinza stars
hao wote wanangu umemsahau bob zilla, jitenga, bato,omi migada,mudi nondo, chibini boy, don king, kumbeba, sembe losti ,banza stone, ras dee, simatani ,milanji ,masu lee, mchizi mox, mbena nkSinza Star mlikuwa Bange/Bangi sana. Denis Kinyani, Pati, Dogo Machota na wengine
ila baunsa bati ilikuwa habari nyingine,wakina kidume,ayubu mkobo na fike walikuwa wanamfuata kwa tahadhaliSinza Star mlikuwa Bange/Bangi sana. Denis Kinyani, Pati, Dogo Machota na wengine
hao wote wanangu bumemsahau bob zilla, jitenga, bato,omi migada,mudi nondo, chibini boy, don king, kumbeba, sembe losti ,banza stone, ras dee, simatani ,milanji ,masu lee, mchizi mox, mbena nk
Pati alikuwa anatimia Silaha hususani Panga. Na akitoa Panga alikuwa hatudishi. Pati alikuwa anaogopewa kuliko Ayubu Mkobo Dameila baunsa bati ilikuwa habari nyingine,wakina kidume,ayubu mkobo na fike walikuwa wanamfuata kwa tahadhali
jamaa alikuwa aludishi panga ndio tulikuwa tunamtegemea kwenye vita zetu za sinza star na abajaloPati alikuwa anatimia Silaha hususani Panga. Na akitoa Panga alikuwa hatudishi. Pati alikuwa anaogopewa kuliko Ayubu Mkobo Dame
Fike alikuwa mbavu tu lakini hakuwa mgomvi.jamaa alikuwa aludishi panga ndio tulikuwa tunamtegemea kwenye vita zetu za sinza star na abajalo
yule ni baunsa profeshinoFike alikuwa mbavu tu lakini hakuwa mgomvi.
Kuna kipindi flani ndugu yake aliuwawa mitaa ya kwetu kwa bahati mbaya, alipatwa na ugonjwa wa akili akawa anaingia kwenye nyumba za watu akaitiwa mwizi. Jamaa wa West Coast wakampiga hadi wakamuua.
Ila kina fike hawakulipiza kisasi.