Hassan Ngoma: Mwambieni Mange Kimambi wenu nina 'free pass' ya kuingia Ikulu akitaka nitampeleka

Hawa ndo tuwaitaga mishumaa wacha wawaangazie wengine kisha wao wataishia kutupwa tu bila kukumbukwa
Nimeshituka kwelikweli, nilidhani labda freepass ya kwenda mbinguni nianze kumsujudia!
kumbe ikulu tu aa, hiyo akae nayo wala sihitaji.
 
Back
Top Bottom