leonaldo
JF-Expert Member
- Oct 26, 2014
- 2,585
- 3,179
Nimeshituka kwelikweli, nilidhani labda freepass ya kwenda mbinguni nianze kumsujudia!Hawa ndo tuwaitaga mishumaa wacha wawaangazie wengine kisha wao wataishia kutupwa tu bila kukumbukwa
kumbe ikulu tu aa, hiyo akae nayo wala sihitaji.