Hassan Ngoma: Kuugua kwa Lissu hakuna maana ila Wananchi ambao hawana Uwakilishi muda mrefu ndiyo Wathaminiwe

“ Tuacheni Unafiki Kujifanya tunasikitika na tunaona Huruma Kuugua kwa Tundu Lissu huku tukijua kabisa kuwa Wananchi wake ambao wanahitaji Huduma yake kama Mbunge kwa muda mrefu hawawakilishwi hivyo Wao ndiyo wanaathirika zaidi kuliko Yeye Mmoja tu “

Huyu ndiye Mtangazaji na Mtu aliyejipachika Cheo cha kuwa Mchambuzi na Muuliza Maswali bora na yaliyoenda Kidato ( Shule ) wa Nyanja zote katika Chombo chake cha CMG hasa akiwa pale Clouds 360 akijulikana kama Hassan Ngoma a.k.a Mr. Tanzanite.

Haya nadhani sasa wale ambao ni Watetezi wakuu wa Tundu Lissu mmemsikia Kipanga wa CMG Mtangazaji Hassan Ngoma na Yeye Msimamo wake ameuweka wazi tu kuwa anadhani Wananchi wa Jimbo la Tundu Lissu ndiyo wanatakiwa waonewe Huruma sana kuliko Yeye Mtu Mmoja tu Tundu Lissu na anadhani ilitakiwa mapema mno kama Tundu Lissu alishaona kuwa hatokuwepo Jimboni Kwake kwa muda mrefu basi angeliachia tu hilo Jimbo ili kuwapisha wengine waweze Kuwawakilisha Wananchi wa hilo Jimbo.
Huyo punga amesemaje? Punga la lumumba lililojificha kwenye utangazaji.
 
Huyu pia alikuwepo kwenye ile list ya DUDUBAYA ila akafutwa kabla haijaenda hewani.
 
Nasikia Mtangazaji Hassan Ngoma ndiyo Mtanzania pekee anayejulikana kuwa na IQ Kubwa kuliko wengineo wote na ndiyo maana huwa anafanya Uchambuzi wa mambo yote huku akiwa anajua kila Kitu pia na hakuna ambacho utamuuliza asikijue cha Tanzania na Duniani huko kote.
huyu ni mpumbavu mmoja nikimuona kwenye kipinda nahamia tv nyingine
 
Kuna watu kwa mwonekano tu bila hata kuongea unajua ni wapuuzi fulani wanaopenda kujipendekeza.

Huwa kana mkao ka vile kanataka kutaga hivi.
 
Siasa ni kitu kingne kabisaa kwan waliompiga Risas hawakujua kama Wanasingida wanamhitaj??

Nb: Sishrik Siasa kabisaa ila kwa alchfanyiwa Lissu anatakiwa Apewe Pole sana kwa anayoyaptia

Mr Tanzanite Kakosea sana na wanao mshabikia nawza kuse a hawajielewe,

Ktoa maon kwa kutokjal Afya mtu ni upumbvu
 
Nchi hii imepewa kila kitu in material form lakini imenyimwa maarifa, ndio maana watu inao million 55 lakini hatujui hata tunachohitaji! Eti na huyu ni miongoni mwa top ten journalists, ndipo utajua tuna shida kiasi gani!!
 
“ Tuacheni Unafiki Kujifanya tunasikitika na tunaona Huruma Kuugua kwa Tundu Lissu huku tukijua kabisa kuwa Wananchi wake ambao wanahitaji Huduma yake kama Mbunge kwa muda mrefu hawawakilishwi hivyo Wao ndiyo wanaathirika zaidi kuliko Yeye Mmoja tu “

Huyu ndiye Mtangazaji na Mtu aliyejipachika Cheo cha kuwa Mchambuzi na Muuliza Maswali bora na yaliyoenda Kidato ( Shule ) wa Nyanja zote katika Chombo chake cha CMG hasa akiwa pale Clouds 360 akijulikana kama Hassan Ngoma a.k.a Mr. Tanzanite.

Haya nadhani sasa wale ambao ni Watetezi wakuu wa Tundu Lissu mmemsikia Kipanga wa CMG Mtangazaji Hassan Ngoma na Yeye Msimamo wake ameuweka wazi tu kuwa anadhani Wananchi wa Jimbo la Tundu Lissu ndiyo wanatakiwa waonewe Huruma sana kuliko Yeye Mtu Mmoja tu Tundu Lissu na anadhani ilitakiwa mapema mno kama Tundu Lissu alishaona kuwa hatokuwepo Jimboni Kwake kwa muda mrefu basi angeliachia tu hilo Jimbo ili kuwapisha wengine waweze Kuwawakilisha Wananchi wa hilo Jimbo.
Tangia Mtangazaji Mwenzake wa kipindi hicho apate cheo cha Ukurugenzi (DED ) huyu dogo ali/amechanganyikiwa kabisa (akili yake haiko sawa hata kidogo siku hizi) pengine anaota na yeye anaweza akapata hiyo bahati ya kupigiwa simu.. lakini wapi..muacheni mnafiki mkubwa huyo
 
Issue siyo lissu kuachia Ubunge bali ni njia zilizotumika na bila shaka wananchi wake wanajua kuwa mwakilishi wao ana matatizo ndio maana hawakuinuka kutaka mwakilishi mwingine.Halafu Hassan Ngoma nimefuatilia kwa muda mrefu hana skills za kuinua hoja na wala hana uwezo wa kuuliza maswali ambayo unaweza ukakaa na kuacha kzai zako.Tanzania angalau Dotto Bulembo ndio mtu huwa namwona kama chombo chake kikiwa huru ana uwezo wa kuuliza maswali fikirishi siyo kama ya kipima Joto cha ITV ambayo huwa jibu lake linajilikana kabla ya kujibu au ya Hassan ngoma.
 
Amebaki kidogo tuu atasema kufa kwa Ruge MTU mmoja tuu hakukuwa na maana waume wenye wake kufunga safari na kuacha wake zao majumbani wakikosa huduma ya ndoa kwa ajili ya mtu huyo mmoja.
Akili ya Hassan Ngoma ni kama ile ya Kalume kenge.
 
WATANZANIA Pls. Tujaribu kujibu hoja jamani. Sio kulaumu na kutoa matusi. Tujivue uwanachana na Wana....... Kujadili Hilo Kwanza, ndio baadaye tunawaza kutoa maoni yetu. Kuna wabunge wengi awaonekaniki bungeni na jimboni wao NI kutoa huthuru kwa miaka mitano hao wote NI wa kujadiliwa, Ndivyo alivyo sema HN
 
Huyu jamaa ni pumbavu ndio maana ana tuhuma za kumuwekea sumu arauge, kama ana akili hizi ninaweza kuamini.. Yeye hapo alipo amefaidika vipi na mbunge wa jimbo lake? Kwanza huko bungeni sasa hivi kuna uwakilishi wa wananchi au kwenda kuhitimisha maamuzi ya mkuu?Bure kabisa.
Hivi kumbe ni yeye? Masikini we! Hassan Ngoma kwanini ulimwekea Ruge sumu? Kumbe ndio maana hata hujui maumivu aliyopata Lissu wala family yake, ndugu na wrote wenye mapenzi mema?
Hivi hapo CLOUDS wanakuangaliaje?
 
“ Tuacheni Unafiki Kujifanya tunasikitika na tunaona Huruma Kuugua kwa Tundu Lissu huku tukijua kabisa kuwa Wananchi wake ambao wanahitaji Huduma yake kama Mbunge kwa muda mrefu hawawakilishwi hivyo Wao ndiyo wanaathirika zaidi kuliko Yeye Mmoja tu “

Huyu ndiye Mtangazaji na Mtu aliyejipachika Cheo cha kuwa Mchambuzi na Muuliza Maswali bora na yaliyoenda Kidato ( Shule ) wa Nyanja zote katika Chombo chake cha CMG hasa akiwa pale Clouds 360 akijulikana kama Hassan Ngoma a.k.a Mr. Tanzanite.

Haya nadhani sasa wale ambao ni Watetezi wakuu wa Tundu Lissu mmemsikia Kipanga wa CMG Mtangazaji Hassan Ngoma na Yeye Msimamo wake ameuweka wazi tu kuwa anadhani Wananchi wa Jimbo la Tundu Lissu ndiyo wanatakiwa waonewe Huruma sana kuliko Yeye Mtu Mmoja tu Tundu Lissu na anadhani ilitakiwa mapema mno kama Tundu Lissu alishaona kuwa hatokuwepo Jimboni Kwake kwa muda mrefu basi angeliachia tu hilo Jimbo ili kuwapisha wengine waweze Kuwawakilisha Wananchi wa hilo Jimbo.
Haka kajamaa nilishawahi kutana napo pale muhimbili MOI.kajinga kajinga hivi.kakujistukia stukia harafu ukikaona hivi,unaona kabisa kichwani kweuuupe haswa..unaweza ukatapika
 
Back
Top Bottom