Hassan Moyo Mwasisi Muungano alipua jipu Muungano ulivyozunguka Mbuyu

Ikumbukwe kwamba uteuzi wa jina la Mgombea wa Urais Visiwani hupigiwa kura na wajumbe wote wa mkutano Mkuu wa CCM bara na visiwani, wengi wa wajumbe wakiwa ni wa kutoka Bara. Nakumbuka ililalamikiwa mara kadhaa kwamba wabara ndio wanaowachagulia mgombea urais.
....Kama vile Hotuba za Bajeti za Wizara ZISIZO za Muungano ZINAVYOJADILIWA na Kupitishwa na wabunge WOTE wa Bara na Visiwani!
 
Mambo yanavyoendeshwa ndani ya Muungano wa nchi hizi mbili ni ovyo ovyo tu, hata mtoto mdogo asiyekomaa kiakili ana ya kuuliza kulikoni.
 
Hassan Moyo alikuwa mmojawapo wa viongozi wa juu serikali ya Mapinduzi Zanzibar.
Karume alikuwa na mfumo wa kidictata ndio maana hata katibu wake tu alitolewa nje ili wajadili na Nyerere peke yao

Wakati huo huo Karume alikuwa mbumbumbu wa kimombo, alihitaji mtu wa kumtafsiria.
Siku zote nilitaka Nassoro Moyo azungumze na kuwaonyesh Wazanzibar wote jinsi gani Karume mwenyewe hakupendwa ndani ya ASP na jinsi gani aliwageuka wenzake baada ya kupata security.

Muungano wetu ulikuwa kumlinda Karume na kuhakikisha Umma party wanamezwa kisiasa. Wapinzani wa Karume walishughulikiwa na CIA were involved all the way until Nyerere alipokuja washtukia but again it was too late kundi la kina Hanga wameisha uawa Abrahman Babu marufuku kugusa Zanzibar..

All this time, hizi hadithi za kina Jussa kumsifia Karume ama kusifia viongozi wa Zanzibar wakati ni wao waliokuwa wakimalizana, kuuzana na kadhalika waje msingizia Nyerere ndio mbaya zaidi. Nassoro Moyo alikuwa kati ya kundi la viongozi wa ASP waliokuwa wana support Ujamaa.. hawa ndio walioogopwa na serikali za magharibi hivyo makubalino ya Muungano, Nassoro Moyo hakuhusishwa na usiri wake maana Karume alikuwa na plan kali dhidi yao na amshukuru Mungu Nyerere was there for him.
 
Umenikumbusha mengi katika mchango wako, Karume hakuwa mtu wa kukaa meza moja na wenzake na kujadili kitu wakakbualiana, ila wa kutoa amri na wenzake wafuate anachotaka. Karume mtu aliyemwona kama mwenye kushauri ni Nyerere tu kwa vile alimsaidia katika mapinduzi ya Zanzibar na ili kumridhisha Nyerere alikubali Muungano.

Lakini pia elimu iliyoipa kisogo ni tatizo jingine ambalo ilimwia vigumu kuelewa mambo kipana na pale anapozidiwa hoja hujenga uadui na kuana wenye mawazo na malengo tofauti ni wasaliti.

Back
Top Bottom