Hassan Abas Msemaji wa Serikali na mwanamkakati wa kujipatia shibe kwa nafasi aliyopewa

Tunamshuhudia msemaji wa serikali akizunguka mikoa ya nchi hii kila mkoa akiingia kwenye redio za eneo hilo na kuinadi serikali.

Anatumia gharama kubwa za safari hizo na kujilipa posho zisizo za lazima. Per diem yake ni kubwa na wale wanaofuatana nae wanalipwa pia, madereva na watu kadhaa anaoongozana nao kwenye msurulu wake.

Tunajiuliza kwanini Abbas anazunguka kila kona kufanya kampeni za kipropaganda kunadi maendeleo anayoyaita yaliyofanywa na JPM kwa miaka mitatu?

Anajaribu kuhubiri mno JPM anachokifanya, anaweka ushawishi kwenye maendeleo, yaani kuwaambia wananchi ni nini JPM kafanya.

Hivi maendeleo ya kweli yanahitaji airtime ili tuyaone? Kwani maendeleo yanataka mtu akae studio aanze kuyataja moja mpaka la mwisho ndio tuelewe? Maendeleo ni kitu hai na halisi, hayahitaji hesabu za kikokotoo ni swala la udhihiriko halisi.

Serikali ya awamu hii imefanya vitu vibaya mpaka imeamua kujikita kua serikali Ongo kuwahitokea nchini.

Kwani kama lengo ni kuongea na redio, kwanini asingeenda kwenye redio kama Clouds na nyinginezo zenye coverage kubwa na kusemea huko huko alipo na nchi nzima ikajua.

Cha ajabu kaomba fungu la kuzunguka nchi nzima akaongee na redio za mikoani ambazo hata coverage zake ni hafifu. Kikubwa alipwe mamilioni ya safari.

Abbas hakuna cha maana kimefanywa na serikali hii hasa kwa kuyagusa maisha ya mtu masikini moja kwa moja. Zaidi ya kuzindua majengo na madaraja, ile hali watu wanakosa kula wanakosa kusomesha watoto wao elimu za juu na elimu za uhakika.

Watu wanakosa kazi na haki kua ngumu, watu wanakandamizwa na kodi za TRA mpaka wanaamua kufunga biashara kila siku.

Hebu achaneni na siasa za North Korea za kipuuzi, mje na akili za kuiendeleza nchi sio kujiendeleza nyie na chama chenu. Mnaingia maofisi ya umma mkiwa masikini mnatoka mkiwa matajiri wakubwa na masikini wamezidi kua kapuku wakutupwa.

Serikali inapofanya maendeleo haihitaji kupayuka payuka, kwakua maendeleo hai hayajifichi yanaonekana wazi wazi, kuanzia kwa watu mpaka kwa miji yao.

Haya ndio mnayakataa na kuyapinga... duh Tanzania ya Sasa sio kama ile, watu wanapinga maendeleo.
 
Attachments

  • B2B5810B-E0C0-4C50-BFAB-49CADD041C33.jpeg
    B2B5810B-E0C0-4C50-BFAB-49CADD041C33.jpeg
    117.2 KB · Views: 17

Hahahaha dawa imeingia.... Wacha watu wafanye kazi acheni porojo...
 
Inaelekea anatumia hovyo pesa za walipa kodi kwa kampeni za kisiasa. Nafikiri bunge linapaswa kuhoji nini hasa kazi ya msemaji wa serikali na kujadili mipaka ya kazi yake.
Hicho anachokifanya ndio hasa kazi yake. . . .msemaji wa serikali anayasema yale yote ambayo serikali imeyafanya. Au kuna kitu kingine ameongezea katika usemi wake?
 
Haya ndio mnayakataa na kuyapinga... duh Tanzania ya Sasa sio kama ile, watu wanapinga maendeleo.
Wanaopinga sijui wamekula maharage ya wapi hawa. . . .vitu viko clear kabisa, Msemaji kasema mambo ya kweli lakini kuna watu bado wanataka kudivert kwenye ukweli
 
Mbona Mwenyekiti wenu anatumia ruzuku kunywa juisi Dubai hadi mnashindwa kuwalipa mawakili
Mjadala ukisha ingiliwa na watu wa aina ile aliita Marehemu Mzee Kenyatta kuwa wana akili za maiti unakuwa umeharibika.
Kweli alichoambiwa Nyerere na Kenyatta kuwa nchini mwako kuna watu wengi wana akili za maiti hakikuwa uongo! wapo wengi sana mitaa ya lumumba, na ndio hawa kina jingalao
 
Mkuu ni lini utakuwa na akiri? Unataka kusema Mwenyekiti wa upande ule akinya njia na wakwenu atakunya njiani?
Ni aibu sana serikali ya Tanzania kutetewa na watu wajinga kama wewe
Na wanalipwa Kwa kazi hiyo!
 
Tunamshuhudia msemaji wa serikali akizunguka mikoa ya nchi hii kila mkoa akiingia kwenye redio za eneo hilo na kuinadi serikali.

Anatumia gharama kubwa za safari hizo na kujilipa posho zisizo za lazima. Per diem yake ni kubwa na wale wanaofuatana nae wanalipwa pia, madereva na watu kadhaa anaoongozana nao kwenye msurulu wake.

Tunajiuliza kwanini Abbas anazunguka kila kona kufanya kampeni za kipropaganda kunadi maendeleo anayoyaita yaliyofanywa na JPM kwa miaka mitatu?

Anajaribu kuhubiri mno JPM anachokifanya, anaweka ushawishi kwenye maendeleo, yaani kuwaambia wananchi ni nini JPM kafanya.

Hivi maendeleo ya kweli yanahitaji airtime ili tuyaone? Kwani maendeleo yanataka mtu akae studio aanze kuyataja moja mpaka la mwisho ndio tuelewe? Maendeleo ni kitu hai na halisi, hayahitaji hesabu za kikokotoo ni swala la udhihiriko halisi.

Serikali ya awamu hii imefanya vitu vibaya mpaka imeamua kujikita kua serikali Ongo kuwahitokea nchini.

Kwani kama lengo ni kuongea na redio, kwanini asingeenda kwenye redio kama Clouds na nyinginezo zenye coverage kubwa na kusemea huko huko alipo na nchi nzima ikajua.

Cha ajabu kaomba fungu la kuzunguka nchi nzima akaongee na redio za mikoani ambazo hata coverage zake ni hafifu. Kikubwa alipwe mamilioni ya safari.

Abbas hakuna cha maana kimefanywa na serikali hii hasa kwa kuyagusa maisha ya mtu masikini moja kwa moja. Zaidi ya kuzindua majengo na madaraja, ile hali watu wanakosa kula wanakosa kusomesha watoto wao elimu za juu na elimu za uhakika.

Watu wanakosa kazi na haki kua ngumu, watu wanakandamizwa na kodi za TRA mpaka wanaamua kufunga biashara kila siku.

Hebu achaneni na siasa za North Korea za kipuuzi, mje na akili za kuiendeleza nchi sio kujiendeleza nyie na chama chenu. Mnaingia maofisi ya umma mkiwa masikini mnatoka mkiwa matajiri wakubwa na masikini wamezidi kua kapuku wakutupwa.

Serikali inapofanya maendeleo haihitaji kupayuka payuka, kwakua maendeleo hai hayajifichi yanaonekana wazi wazi, kuanzia kwa watu mpaka kwa miji yao.
Kuna campaign inaendelea chini ya usimamizi tiss ya kutangaza na kusifia kile wanachokiita "mafanikio" ya jiwe. Media zote, bloggers,wasanii, waandishi nk wanapitiwa na kushawishiwa kusifia juhudi huku pesa.ya kodi yetu ikigawiwa kifisadi. Hii nimedokezwa na mtu ambaye alifikiwa na hao jamaa japo yeye bado anawatilia ngumu. Mwanadada wa US wamemnasa, recturers wa udsm wamo, cag mstaafu kanaswa na mtaendelea kusikia sifa kila kona
 
Dawa imeingia... wacha watu waelezwe... jaman Zitoo Ester Bulaya Mnyika na wengine mnaowaita viongozi kila siku kwenda kwenye media na kufanya mikutano na waandishi wa habari kuongea wanayoona ni mabaya haya nyie mbona hamsemi? Ila mtu akienda kueleza utekelezaji na makubwa yaliyofanyika inakuwa ni shida.... hebu muda mwingine watanzania tuweke uwanja sawa.... #WACHADAWAIINGIE...ACHENI AWAMU YA TANO IFANYE KAZI... Tuliokosa tujipange 2020 kama tutaweza
Unajua tofauti iliyopo? Hao kina Zitto hawana serikali hivyo wanatumia vyombo vya habari kukosoa na wafanyacho matokeo chanya yanaonekana.
Sasa serikali kama inafanya vizuri kuna haja ya viongozi kupoteza hela kutembea nchi nzima kujitangaza wameleta maendeleo? Kama yapo sii wangeyaona wenyewe?
 
Hicho anachokifanya ndio hasa kazi yake. . . .msemaji wa serikali anayasema yale yote ambayo serikali imeyafanya. Au kuna kitu kingine ameongezea katika usemi wake?

Nilikuwa namaanisha kuzurura mikoani na kuipigia debe serikali ya CCM kuwa watu wamuunge mkono Magufuli. Sidhani kama kazi yake inahitaji yeye kutembea hovyo na kupoteza pesa za walipa kodi zaidi ya kutoa msimamo wa serikali kwenye mambo mbalimbali kwa vyombo vya habari.
 
Mbona Mwenyekiti wenu anatumia ruzuku kunywa juisi Dubai hadi mnashindwa kuwalipa mawakili
Wakili yupi hajalipwa wewe zwazwa? Unafikiri mwenyekiti ananjaa kama mwenyekiti wako ambaye amejichokea hana sera wapa ushawish amebaki kufanya political graft mshaur afate ushauri wa gwajima vinginevyo atakua kama bokassa- jinga wewe.
 
Back
Top Bottom