Abdulahsaf,
Naomba nikuunge mkono kwa kusema wakati mwingine dawa ni kuvunja muungano japo kwa miaka 50 kila upande ujue lake kwanza na kuwaachia historia vizazi vijavyo kwamba kama wanataka Muungano kati ya Tanganyika na Zanzibar basi watumie miaka kama 100 kujadili kabla hawajakubaliana kuungana kwa miaka kumi (10) ya majaribio na kama malalamiko ya mambo madogomadogo yataendelea basi wavunje muungano huo jumla na ikubalike ktk katiba zao kwamba haiwezekani watu hawa kuungana.
CCM hawana sera ya serikali tatu, CUF wanayo lakini wapo tayari kukaa kimya kwa ajili ya kutetea nafasi za Makamu wa Kwanza wa Rais na Mawaziri katika SMZ. Sasa mjadala utapitia wapi?.
Binafsi naona malalmiko mengine yanakuwa ya kipuuzi sana kiasi kwamba kama ndo mtazamo kamili kutoka Zanzibar pengine ni bora kusiwe na Muungano kabisa maana wakati mwingine hata sijui ulazima wake ni nini endapo kila wakati watu wanalalamika tu na wanacholalamikia ni mambo kama vyeo, zamu za madaraka, uanachama ktk jumuiya za kimataifa nk ambayo naona kama Tanganyika wangeweza kulalamika zaidi lakini wapo tuli hawana tatizo.
Eti Zenji wakitembea Tanganyika itaumia ,najiuliza..hvi Tanzanite iko Zbr? Kwani Mt kilimanjaro iko Zbr? Kwani ziwa Viktoria liko Zbr? Kwani Geita iko Zbr? ama basi Serengeti na Ngorongoro ziko Unguja? ama kagera na mtibwa sugar viko Pemba? sasa ya nini Muungano..acheni watembee,waonesheni Ferry
Wewe usijisifu kielimu na kuwaona Wzanzibar pumba,Kero za Muungano haziko Zanzibar tu, hata Bara ziko au unakataa au Bara mumerizika na kuipoteza Tanganyika yenu mulio ipigania uhuru 1961 ikawa hamuidai wala kuitaja? kuna tume Maalum imeundwa Bara yakushuhulikia kero za Muungano? jee ikiwa nyiyi mumerizika kufa kwa Tanganyika ktk mikono ya Muungano sisi bado tuko ktk kupapatua.
Na ukisema kielimu angalia population ya Tanganyika million 45 ina wasomi wangapi na population ya Zanzibar 1million ina wasomi ugawe wapi pumba?. Sisi Zanzibar Hatuna Tanzanet,Mt Kilimanjaro wala almasi lakini hatungaganii Muungano wala kuza utu wa nchi yetu kujita Wtanzania,tutabaki kuwa Wzanzibar na tumeikataa Tanzania miaka 47 tokea kufa mshirika wa Muungano Tanganyika.
Sasa hayo yote mnayo mbona hizi kelele za mara umasikini mara kufa njaa, mara mapigano ya wafugaji na wakulima ya nini?Eti Zenji wakitembea Tanganyika itaumia ,najiuliza..hvi Tanzanite iko Zbr? Kwani Mt kilimanjaro iko Zbr? Kwani ziwa Viktoria liko Zbr? Kwani Geita iko Zbr? ama basi Serengeti na Ngorongoro ziko Unguja? ama kagera na mtibwa sugar viko Pemba? sasa ya nini Muungano..acheni watembee,waonesheni Ferry
Alafu form six kwenu anaonekana BOOONGE LA MSOMI.... holly crap, nendeni bwana. mkichelewa kuna siku mtakuwa ni mkoa tu.