Hasira za ma RC,DC na DEDs zitaoshia kwa watumishi wa umma

Kkimondoa

JF-Expert Member
May 31, 2014
4,453
4,933
Naiona hatari hii inakuja kwa watumishi wa umma kwa sasa , maana ndio sehemu na kundi pekee lililo kwa watu hawa kupatia sifa kwa MHESHIMIWA SANA Kwa maana kundi hili ndilo yatima kwa sasa tena niyatima wasio na hata na mzazi achilia mbali mtetezi, kwa Maana wakiwagusa wananchi wasio watumishi tu ni hatari kwao na kwa ajira zao,
 
ni kweli mana kila mtu atasisita kufanya kazi yake kwenye maeneo ya jamii
Sasa atarudi kwa hawa anaoishi nao nyumba moja
 
Dah! Hasa wale wateule wa Mwanza, mamlaka ya uteuzi imewadhalilisha sana. Hivi watakuwa na la kusema tena mbele ya wamachinga! Hakika hawa wateule wanapaswa kujiuzulu vibginevyo walio chini yao watapata shida sana. Hasira yao yote kwao, liwalo na liwe!
 
Kwa walichokifanya unafikiri watanusurika subiri kiama chao hao si muda mrefu tunao mitaani tu.
 
Naiona hatari hii inakuja kwa watumishi wa umma kwa sasa , maana ndio sehemu na kundi pekee lililo kwa watu hawa kupatia sifa kwa MHESHIMIWA SANA Kwa maana kundi hili ndilo yatima kwa sasa tena niyatima wasio na hata na mzazi achilia mbali mtetezi, kwa Maana wakiwagusa wananchi wasio watumishi tu ni hatari kwao na kwa ajira zao,
Sure, na Mkuu hana mapenzi na watumishi watajuta kuzaliwa
 
Hili kundi la watumish wa umma utadhani halina mchango kwenye serikali maana mh wamefanyiwa madhila mengi sana na hawa wateule tena mengine yakidhalilishaji kabisa lakini kimyaa utadhani sio wapiga kura kabisa .
Ingawa nampongeza mheshimiwa rais kwa maamuzi aliyo yafanya huko mwanza maana wamachinga wa mwanza wameteseka sana siku nne zilizo pita aisee
 
Naiona hatari hii inakuja kwa watumishi wa umma kwa sasa , maana ndio sehemu na kundi pekee lililo kwa watu hawa kupatia sifa kwa MHESHIMIWA SANA Kwa maana kundi hili ndilo yatima kwa sasa tena niyatima wasio na hata na mzazi achilia mbali mtetezi, kwa Maana wakiwagusa wananchi wasio watumishi tu ni hatari kwao na kwa ajira zao,

Wakizidi mipaka tutatengeneza dossier za madudu yao na kuambatanisha na clip za video kisha kuzisambaza mitandaoni; kwisha habari yao, wawe wapole, wakae kimya wanyolewe; hizi ni zama za kutetea wanyonge, wakubwa wametetewa sana kwa miaka 50 nzima!
 
Back
Top Bottom