Hasira za Chadema hazisaidii chochote ccm/cuf Z’bar lengo ni kuuvunja Muungano fake | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Hasira za Chadema hazisaidii chochote ccm/cuf Z’bar lengo ni kuuvunja Muungano fake

Discussion in 'Jukwaa la Siasa' started by abdulahsaf, Feb 1, 2011.

 1. a

  abdulahsaf JF-Expert Member

  #1
  Feb 1, 2011
  Joined: Aug 31, 2010
  Messages: 859
  Likes Received: 3
  Trophy Points: 0
  View attachment 21815

  Mimi nachangazwa na Chadema kufanya hasira na chama cha Cuf kwaa jili wameunda Serekali ya kitaifa Zanzibar, Jee walipokuwa Wzanzibar wakisagwa na Jeshi la Tanganyika lililoko Zanzibar Chadema mulikuwa wapi? Kama kwelii Chadema muna hasira kwanza Mungedai Nchi yenu Tanganyika mulioipigania uhuru wa nchi yenu na historia ya watu wenu sio Mukumbatie Muungano ambao Wzanzibar wanaomba wakati wowote uvunjike na wawe huru.

  Wzanzibar htunawaona mafalaa vipi mupiganie uhuru wa nchi yenu Tanganyika halafu Mukubali kufa kwa Tanganyika yenu mulio ipigania uhuru? Sisi Wzanzibar hatutaki Muungano wala kuwataka Nyiyi ni yiyi wenyewe tu munao jipendekeza kwetu hujifanya tu oomuna maduka huku,siwi tukivunja Muungano mutapata tabu, lakini uongo mwaogopa kuutukosaa hada dada zenu hufaa kwetu.

  Sisi ndio tusio utaka Muungano na nyiyi ndio munakufaa nao hata siku moja sijawaskia Chadema kudai Tanganyika na katiba ya Tanganyika au Serekali Tatu, sana utaskia cuf watueleze kwa nini wakaunda Serekali ya umoja wa kitaifa sijuwi wamevunja katiba ya Muungano kusema Zanzibar ni Nchi na mipaka yake so what? Ikiwa ni Serekali ya Umoja wa kitaifa basi walio ungano ni Wzanzibar na sio Wtanganyika na kwa faida ya Zanzibar na kizazi cha Wzanzibar sasa shuki na choyo shenu cha nini? Kama na nyiyi mutaaungana Kuurudishaa Tanganyika yenu nani atawaingilia?
  Na kusema tumevunja katiba ya Muungano kuwa tumejitambulicha kuwa Zanzibar ni Nchi na mipaka yake Kwani muna zani Zanzibar ni mkoa? Na sisi na nyiyi yupi alovunja mkataba wa Muungano sisi au nyiyi? Ni nani lacuna Tanganyika na Katiba ya Tanganyika anbayo ni mshirika wa Muungano ktk masuala yasio ya Muungano? Muta jijua. Mungu ibariki Zanzibar na tuepushe na Muungano fake wa Majambazi.
   

  Attached Files:

 2. Quinine

  Quinine JF-Expert Member

  #2
  Feb 1, 2011
  Joined: Jul 26, 2010
  Messages: 8,708
  Likes Received: 6,655
  Trophy Points: 280
  Hivi unazungumzia mada gani hueleweki unaandika kama kasuku anaimba kaswida vile.
   
 3. Inkoskaz

  Inkoskaz JF-Expert Member

  #3
  Feb 1, 2011
  Joined: Nov 6, 2010
  Messages: 6,292
  Likes Received: 315
  Trophy Points: 180
  wewe umetokea wapi?
   
 4. Masanilo

  Masanilo JF-Expert Member

  #4
  Feb 1, 2011
  Joined: Oct 2, 2007
  Messages: 22,319
  Likes Received: 144
  Trophy Points: 160
  Crap of the highest order!
   
 5. c

  chelenje JF-Expert Member

  #5
  Feb 1, 2011
  Joined: Oct 18, 2010
  Messages: 556
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  umetumwa!
   
 6. M

  Mdondoaji JF-Expert Member

  #6
  Feb 1, 2011
  Joined: Mar 17, 2009
  Messages: 5,106
  Likes Received: 42
  Trophy Points: 145
  Mkuu,

  Karibu sana jamvini nasikia ulikuwa kifungoni habari za huko?
   
 7. Saint Ivuga

  Saint Ivuga JF-Expert Member

  #7
  Feb 1, 2011
  Joined: Aug 21, 2008
  Messages: 36,313
  Likes Received: 14,582
  Trophy Points: 280
  heshima yako mkuu
   
 8. Henge

  Henge JF-Expert Member

  #8
  Feb 1, 2011
  Joined: May 14, 2009
  Messages: 6,742
  Likes Received: 61
  Trophy Points: 145
  mkuu karibu bwana upo!??
   
 9. Masanilo

  Masanilo JF-Expert Member

  #9
  Feb 1, 2011
  Joined: Oct 2, 2007
  Messages: 22,319
  Likes Received: 144
  Trophy Points: 160
  Nilikuwa vacation tu mazee!
   
 10. Quinine

  Quinine JF-Expert Member

  #10
  Feb 1, 2011
  Joined: Jul 26, 2010
  Messages: 8,708
  Likes Received: 6,655
  Trophy Points: 280
  Karibu mkuu mapambano bado yanaendelea.
   
 11. Masanilo

  Masanilo JF-Expert Member

  #11
  Feb 1, 2011
  Joined: Oct 2, 2007
  Messages: 22,319
  Likes Received: 144
  Trophy Points: 160
  Niko kiongozi!
   
 12. M

  Mkeshaji JF-Expert Member

  #12
  Feb 1, 2011
  Joined: Jan 7, 2011
  Messages: 4,264
  Likes Received: 6
  Trophy Points: 0

  !!!!!!!!! Ama kweli JF imeingiliwa.
   
 13. V

  Vumbi Senior Member

  #13
  Feb 1, 2011
  Joined: Nov 7, 2010
  Messages: 191
  Likes Received: 8
  Trophy Points: 35
  Kama zanzibar hawataki muungano si kunajia za kuuvunja? nadhani uelewa wako kuhusu muungano ni mdogo sana, muungano ni suala la hiari kama zanzibar hawataki basi wanaweza kuondoka hata Tanganyika kama hawataki wanaweza kuondoka. Wewe unasema fake je viongozi wako wansemaje? usiongee kama mtu asiye kuwa na akili waambie viongozi wako hayo matwakwa yako kama yana manufaa kwenu watayatekeleze, usije kulalamika hapa JF.
   
 14. M

  MsandoAlberto JF-Expert Member

  #14
  Feb 1, 2011
  Joined: Nov 2, 2010
  Messages: 1,019
  Likes Received: 2
  Trophy Points: 0
  Hii post iwe 'the return of the Holy Rev Masanilo' badala ya huu upupu wa huyu ndugu. Anatumia lugha gani? Aende akajifunze lugha kwanza ndio aje apost upu wake.

  Back to our post, uwe unaaga kamanda, hizi vacation wakati wa matatizo tunazitilia mashaka! Wanafunzi wamefeli, walimu wamekatwa mafao, polisi wamekatwa mishahara nk wewe haupo! Kulikoni kamanda!! Welcome back to where you belong!
   
 15. L

  LAT JF-Expert Member

  #15
  Feb 1, 2011
  Joined: Nov 20, 2010
  Messages: 4,524
  Likes Received: 72
  Trophy Points: 0
  duuu...kweli wewe ni yakhee.....
   
 16. Gaga

  Gaga JF-Expert Member

  #16
  Feb 1, 2011
  Joined: Jan 6, 2011
  Messages: 4,564
  Likes Received: 18
  Trophy Points: 0
  Kajifunze kuandika kiswahili alafu urudi tena. Au ungeandika kiarabu mods wangetafasiri tu kaka yangu.
   
 17. M

  Marytina JF-Expert Member

  #17
  Feb 1, 2011
  Joined: Jan 20, 2011
  Messages: 7,031
  Likes Received: 17
  Trophy Points: 135
  Oooh son, namshauri uende shule akajifunze kufanya analysis au aendelee kuhubiri vijiweni huku akinywa gahawa na sio hapa JF the home of great thinkers.
  Hata kama utascore ZERO GRADE (huna uwezo wakupa div 4 hata usome seminary schools) utakuwa umepata bahati ya kuona wenzio wanavyoanalyse hivyo hutaleta tena upuuzi hapa JF

   
 18. Masanilo

  Masanilo JF-Expert Member

  #18
  Feb 1, 2011
  Joined: Oct 2, 2007
  Messages: 22,319
  Likes Received: 144
  Trophy Points: 160

  Jina tu
  abdulahsaf linaeleza kila kitu!
   
 19. M

  Mdondoaji JF-Expert Member

  #19
  Feb 1, 2011
  Joined: Mar 17, 2009
  Messages: 5,106
  Likes Received: 42
  Trophy Points: 145
  Tulikumiss sana,

  Anyway mie nipo Jangwa la Sahara nakukaribisha sana jamvini ungelikuwa huku ningelikukaribisha White Bull kama unapata kidogo. Hajambo First Lady, Maria Roza na wengineo!!!
   
 20. nyondoloja

  nyondoloja Senior Member

  #20
  Feb 1, 2011
  Joined: Nov 10, 2010
  Messages: 190
  Likes Received: 10
  Trophy Points: 35
  kurazwa sikitambulisho pekee cha maradhi wengine wapo majumbani wengine mitaani wengine sehem zakazi nk huyuanaerekeya moc..........
   
Loading...