Hasi Kitine atalialia mpaka lini? | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Hasi Kitine atalialia mpaka lini?

Discussion in 'Jukwaa la Siasa' started by Game Theory, Mar 30, 2009.

 1. G

  Game Theory JF-Expert Member

  #1
  Mar 30, 2009
  Joined: Sep 5, 2006
  Messages: 8,571
  Likes Received: 92
  Trophy Points: 0
  Huyu naye ndo alikuwa SPY MASTER wetu enzi zile naona all of a sudden naye keshageuka amekuwa bitter ajabu.

  Hivi pamoja na kupenda kwake makuu bado anataka aongezewe sasa sijui ataongezewa vingapi. Kama ukitaka kujua kama huyu jamaa ni ELITIST wa hali ya juu hata press conference yake ya mwisho hakuifanyia sehemu ambayo watu wengine hufanyia yaani MAELEZO na hakukatazwa kufanya hivyo...wala yeye aliamua kwenda kuifanya GYMAKHANA GOLF CLUB!!! kulalamikia serikali hiyo hiyo ambayo alikwemo miaka nenda rudi

  Mbaya zaidi nani atasahau kile kisa chake cha kutumbukiza Benzi aliloliagiza toka ujerumani baharini baada ya kustukiwa wakati wa Mwalimu Nyerere?

  Tutasahau vipi alivyokuwa balozi kule Canada na akawa anafoji hati za dawa za mamilioni za walipa hoi halafu leo anataka kujifanya eti he's cleaner than clean.

  JK naye kazidi kuwalea hawa watu wasio na maana... Hivi matusi yoote haya anayomtukana JK ni kwa sababu ya ile nyumba Masaki? How low can this Kitine go?

  Keshasahau kuwa zile pesa za kufoji risiti zilikuwa ni kodi za walalahoi?
   
 2. Shalom

  Shalom JF-Expert Member

  #2
  Mar 30, 2009
  Joined: Jun 17, 2007
  Messages: 1,315
  Likes Received: 5
  Trophy Points: 135
  GT hebu tueleze umepewa kiasi gani ndugu yetu ili tumrudishie huyo mtu na kusitili utu wako maana naona umeanza kuvua nguo zako zote ukianzia na issue uliyopost kuhusu mwakyembe na NSSF na hii thread.

  Kitine kama alifoji hii aimanishi kuwa baada ya kujua kuwa alikuwahawatendei haki wananchi hawezi kutubu na kuamua kuwatetea wananchi.

  Nyuma nikijibishana na mmoja ya watu walikuwa wanaleta vidata uchwara kama vyako kuwa mnanajitafutia mwanya wa kuonwa na mafisadi ili wawanunue, jamaa akabisha sana sasa et least nimeshapata evidence yako na ninaahidi wengi wenu mtanunuliwa humu uchaguzi ukikaribia.

  Na hatutaacha kuwalipua kama tunavyoanza na wewe. tutakula na wewe sahani moja mpaka utarudisha hela za mafisadi kama ndugu yako kada mpinzani
   
 3. S

  Son of Alaska JF-Expert Member

  #3
  Mar 30, 2009
  Joined: Jun 2, 2008
  Messages: 2,813
  Likes Received: 102
  Trophy Points: 0
  tunaomba mtueleze huyu hasi kitine ni nani?
   
 4. Opaque

  Opaque JF-Expert Member

  #4
  Mar 30, 2009
  Joined: Oct 24, 2008
  Messages: 1,138
  Likes Received: 31
  Trophy Points: 135
  Hivi mtu akifanya uovu anatakiwa akae kimya ili na wengine wafanye? Mwizi akiiba, hapo baadae hatakiwi kuja kuwa raia mwema na kukemea wizi? Mara nyingi huwa sizielewi post za GT !
   
 5. Gelange Vidunda

  Gelange Vidunda JF-Expert Member

  #5
  Mar 30, 2009
  Joined: Aug 18, 2008
  Messages: 312
  Likes Received: 3
  Trophy Points: 35
  Its Hasse and not "Hasi"
   
 6. J

  Jasusi JF-Expert Member

  #6
  Mar 30, 2009
  Joined: May 5, 2006
  Messages: 11,484
  Likes Received: 165
  Trophy Points: 160
  Mr. Kitine has never been balozi in Canada. Alikuwa anasomea Phd Vancouver. Get your facts straight before you start shooting from the hip.
   
 7. Nyani Ngabu

  Nyani Ngabu Platinum Member

  #7
  Mar 30, 2009
  Joined: May 15, 2006
  Messages: 73,650
  Likes Received: 35,409
  Trophy Points: 280
  Anatakiwa aadhibiwe kwanza kwa maovu aliyoyafanya halafu atubu ili aweze kuwa na mamlaka ya kimaadili kukemea maovu. Kinyume na hayo ataendelea kuonekana ni mtu mwenye machungu flan flani hivi.
   
 8. Mr. Zero

  Mr. Zero JF-Expert Member

  #8
  Mar 30, 2009
  Joined: Jun 5, 2007
  Messages: 9,503
  Likes Received: 2,744
  Trophy Points: 280

  Kumbe washilika wanataka kutufunga kamba taratibu bila ya sisi kujijua. Kwa vile sisi ni wadanganyika basi wanataka kutudanganya kirahisi.

  Kuhusu GT na NSSF nenda kenye post za NSSF then utajua GT ana agenda gani na hiyo NSSF!!!!!!!!!!!!!!?????????
   
 9. Yo Yo

  Yo Yo JF-Expert Member

  #9
  Mar 30, 2009
  Joined: May 31, 2008
  Messages: 11,247
  Likes Received: 73
  Trophy Points: 0
  Mbona mtakatifu Nyerere hakutubu na aliendelea kuzodoa wenzake wachafu?
   
 10. T

  Tikerra JF-Expert Member

  #10
  Mar 30, 2009
  Joined: Sep 3, 2008
  Messages: 1,704
  Likes Received: 7
  Trophy Points: 0
  Watu wanabadilika.Ni vema ukaanza vibaya ukamaliza vizuri.Ni kweli Kitine alianza vibaya,lakini kama kaamua kumaliza vizuri ni heri kwake!Hata hivyo sina hakika wewe unayemsema vibaya Kitine kiasi hicho ni nani.Na hisi kwamba wewe ni mtu wa usalama wa taifa.Kama ni kweli pole,maana nina hakika unaona mtu ambaye kakupashwa kuwageuka sasa amewageuka.Kitine ni binadamu na ana haki ya kutoa mawazo yake.Wakati ule asingeweza kusema kwa sababu system ilikuwa imembana,sasa yuko huru,mwacheni aseme.Hata hivyooo,kwani anayosema ya uongo?


   
 11. TIMING

  TIMING JF-Expert Member

  #11
  Mar 30, 2009
  Joined: Apr 12, 2008
  Messages: 21,837
  Likes Received: 125
  Trophy Points: 160
  Aisee nashukuru watu wameona hilo... Unajua kuwa pandikizi ni kitu kigumu sana, ni sawa na mwenye pepo vile, itachukua muda sana kugundua na kubadilika.

  I am glad Kitine kaona, ila nina wasiwasi kama some members humu wanaona hivyo

  Maumivu ya kichwa huanza pooooole pole
   
 12. M

  MILKYWAY GALAXY JF-Expert Member

  #12
  Mar 30, 2009
  Joined: Dec 12, 2008
  Messages: 201
  Likes Received: 14
  Trophy Points: 35
  I wish somebody could post here IN FULL what did Mr Kitine said.
  I am more interested in the content than the container
   
 13. Nyani Ngabu

  Nyani Ngabu Platinum Member

  #13
  Mar 30, 2009
  Joined: May 15, 2006
  Messages: 73,650
  Likes Received: 35,409
  Trophy Points: 280
  Hakutubu nini?
   
 14. G

  Game Theory JF-Expert Member

  #14
  May 1, 2011
  Joined: Sep 5, 2006
  Messages: 8,571
  Likes Received: 92
  Trophy Points: 0
  nasikia jana kalia tena

  anafkiri tushasahau ufisadi wake wa Canada?
   
 15. i

  ibange JF-Expert Member

  #15
  May 1, 2011
  Joined: Dec 31, 2010
  Messages: 1,545
  Likes Received: 11
  Trophy Points: 0
  kama anasema ukweli na aseme. ni woga kumwangalia msemaji badala ya kuangalia anasema nini
   
Loading...