Hashimu Rungwe: Kuhusu hamahama inayoendelea,tatizo kubwa ni njaa

Jiwe gizani na dawa imepenya vizuri kabisa.
Pole sana mkuu ila hakuna la kufanya chama ndiyo kinakufa hivyo.
 
Njaa ya mwita waitara ni ya dizaini yake!! Mtatiro anaweza kuwa hajanunuliwa kwa cash, ila kaahidiwa tu kugombea ubunge nae akajaa!!!
 
Akihojiwa na mtangazaji wa DW Radio Sudi Mnete,Mwenyekiti wa CHAUMA Hashimu Rungwe amesema kuwa tatizo kubwa linalopelekea hamahama inayoendelea ni njaa.

Rungwe amesema kuwa alishasema kuwa Tanzania na watanzania kwa ujumla wana njaa kali na hivyo haishangazi kuona wanasiasa wakihama. Ameongeza kuwa hali ya kisiasa nchini ni ya kawaida kwakuwa mambo hayo ya kuhamahama yalitarajiwa.

Wangapi mnakubaliana naye?
Ukitaka kumnunua Rungwe mhonge urais
 
Mbowe ndio aliidhinisha matrilion kwa ajili ya manunuzi sio?!
Mbowe anatafuna ruzuku bila ya huruma.
2. Mbowe anang' ang' ania uwenyekiti na ukimpinga tu anakuambia utamtambua yeye ni nani.

3. Mbowe anakigawa chama kwa kujenga makundi ndani ya chama.

4. Mbowe anatumia wabunge wa viti maalumu kama mtaji wake.

5. Mbowe kamuweka katibu mkuu ambaye hana uwezo wowote wa kisiasa na anamlipa milion 7 kwa mwezi.

6. Mbowe anaendesha chama kikabila
 
Akihojiwa na mtangazaji wa DW Radio Sudi Mnete,Mwenyekiti wa CHAUMA Hashimu Rungwe amesema kuwa tatizo kubwa linalopelekea hamahama inayoendelea ni njaa.

Rungwe amesema kuwa alishasema kuwa Tanzania na watanzania kwa ujumla wana njaa kali na hivyo haishangazi kuona wanasiasa wakihama. Ameongeza kuwa hali ya kisiasa nchini ni ya kawaida kwakuwa mambo hayo ya kuhamahama yalitarajiwa.

Wangapi mnakubaliana naye?

Waitara kathibitisha waziwazi shida yake ni ubunge kwa vile ana wasiwasi 2020 ataukosa akiwa chadema nd mana amerud ccm ili aendelee kustirika na mishahara kama mbunge na sio kuleta maendeleo kwa ajili ya wananchi wake.

Njaa ndio shida kubwa ata Mtatiro akimwita bwana yule mnafiki sasa tunamuona anasubiri uteuzi wa rais mana cuf ruzuku imezuiliwa amekosa hela mfukoni, atateuliwa karibuni
 
Kubenea, mnyika, bulaya,gekuli, hawa ndio wanao ongoza kwa njaa, wananjaa kama darfuu, muda wowote wanafuata msosi ccm
 
Mbowe anatafuna ruzuku bila ya huruma.
2. Mbowe anang' ang' ania uwenyekiti na ukimpinga tu anakuambia utamtambua yeye ni nani.

3. Mbowe anakigawa chama kwa kujenga makundi ndani ya chama.

4. Mbowe anatumia wabunge wa viti maalumu kama mtaji wake.

5. Mbowe kamuweka katibu mkuu ambaye hana uwezo wowote wa kisiasa na anamlipa milion 7 kwa mwezi.

6. Mbowe anaendesha chama kikabila
Out of context! Fake GT!
 
Back
Top Bottom