Hashimu Rungwe: Kuhusu hamahama inayoendelea,tatizo kubwa ni njaa

Wateule

JF-Expert Member
Sep 17, 2010
390
368
Katika mahojiano haya (bonyeza link hapo chini) ya "Kinagaubaga" Sudi Mnette amezungumza na mwenyekiti wa Chama cha Ukombozi wa Umma-CHAUMA Hashim Rungwe ambae anatoa tathmini yake ya hali ya kisiasa nchini Tanzania.

======

Hashim Rungwe na siasa za Tanzania

Katika mahojiano haya ya "Kinagaubaga" Sudi Mnette amezungumza na mwenyekiti wa Chama cha Ukombozi wa Umma-CHAUMA Hashim Rungwe ambae anatoa tathmini yake ya hali ya kisiasa nchini Tanzania.

Hashim Rungwe na siasa za Tanzania | DW | 14.08.2018 Hashim Rungwe na siasa za Tanzania

Source: DW
 
Hahahaa mmenikumbusha Rungwe kipindi cha uchaguzi,hakuna mtu nilikuwa namfuatilia kama huyu yeye alikuwa anahutubia hata watoto wala hajali
 
Akihojiwa na mtangazaji wa DW Radio Sudi Mnete,Mwenyekiti wa CHAUMA Hashimu Rungwe amesema kuwa tatizo kubwa linalopelekea hamahama inayoendelea ni njaa.

Rungwe amesema kuwa alishasema kuwa Tanzania na watanzania kwa ujumla wana njaa kali na hivyo haishangazi kuona wanasiasa wakihama. Ameongeza kuwa hali ya kisiasa nchini ni ya kawaida kwakuwa mambo hayo ya kuhamahama yalitarajiwa.

Wangapi mnakubaliana naye?
 
Wangapi mnakubaliana naye?[/QUOTE
Nilisha sema pia kwenye post zangu kwamba Njaa ni Kali Sana
 
Akihojiwa na mtangazaji wa DW Radio Sudi Mnete,Mwenyekiti wa CHAUMA Hashimu Rungwe amesema kuwa tatizo kubwa linalopelekea hamahama inayoendelea ni njaa.

Rungwe amesema kuwa alishasema kuwa Tanzania na watanzania kwa ujumla wana njaa kali na hivyo haishangazi kuona wanasiasa wakihama. Ameongeza kuwa hali ya kisiasa nchini ni ya kawaida kwakuwa mambo hayo ya kuhamahama yalitarajiwa.

Wangapi mnakubaliana naye?
Hivi ni dr.au ni prf.
Kaongea point sana binafsi makubaliana nae..maana hao wanoahama ingekuwa wanaacha madaraka yao na kukuaa pembeni bila kujihusisha na siasa tena kidogo ningeona kweli hawana njaa
 
haaaaaaaaaaaa umenichekesha sn
 
Back
Top Bottom