Hashimu Rungwe anena, Ndege si ishu kwa watanzania" on YouTube

KWA MHEMKO WA JESHI LA POLISI LA SASA AJIANDAE KWENDA KURIPOTI CENTRAL VERY SOON KWA MAELEZO/MAHOJIANO ZAIDI.

LAKINI WANAOTISHIA KUUWA WANAHABARI KABLA YA MARCH MWAKA HUU WANAKULA KUKU KWA SADAKA ZA MASKINI.
 
Kama nimemuelewa vizuri...huyu mzee bila shaka atakuwa muhanga wa kuminywa kwa wakwepakodi....
Najiuliza, kama nchi imenyooka, ubaya ukowapi tukiinyoosha zaidi kwa kununua ndege?
Upandemwingine anasema wahalifu hawakamatwi, afu dakika chache tena anasema wahalifu wamejaa vituoni..ni aibu sasa viongozi wa upinzani kutetea uhalifu na mafisadi
 
lowasa !!!!!!
fisadi....... swali la msingi mbona hakamatwi
halafu amesema vituoni watu wamejazwa kwa chuki kwamba polisi wanatumia wadhifa wao kulundika watu wala hajasema wahalifu wamejazwa vituoni ................... jipange kudanganya wakati sisi tunasikiliza hapa kama wewe lolz
 
Kwa hiyo anaisifu CCM kwa mazuri yake ya kujenga nchi? Mbona kama kuna kitu sielewi? Kweli Tanzania hakuna Upinzani na kama huyu naye anatumiwa na chadema kuwasemea basi ni wazi chadema wamechanganyikiwa na hata hawajui wanaokipigania tena, naona sasa Raisi Magufuli ndo amegeuka mpinzani wao binafsi badala ya CCM!
 
lowasa fisadi swali la msingi mbona hakamatwi
halafu amesema vituoni watu wamejazwa kwa chuki kwamba polisi wanatumia wadhifa wao kulundika watu wala hajasema wahalifu wamejazwa vituoni ................... jipange
Leo Lowassa akikamatwa utakuja kulia kuwa anafanyiwa kisasi!! Au sio?? Huyo babu Spunda ni mwizi na mkwepakodi tu....eti leo anasimama kusema hakuna mafisadi??
 
Upo msemo wa kiswahili unasema wanamacho lakini hawaoni!! Wana masikio lakini? .............................
 
Leo Lowassa akikamatwa utakuja kulia kuwa anafanyiwa kisasi!! Au sio?? Huyo babu Spunda ni mwizi na mkwepakodi tu....eti leo anasimama kusema hakuna mafisadi??
akamatwe hata kesho najua ametoka ccm lazma awe fisadi ..
ninachopinga ni lowasa kuitwa fisadi wakati ccm wote ni mafissadi woooote bila kumsahau nanihii ..hapo ndo mnaponishangaza

my friend na ile mahakama haifanyi kazi mpaka sasa kwasababu ya makaburi yao almost wote ni maiti

mwishowe itakuja kuwa ya vibaka wa huku kwetu tandika
 
Kwa hiyo anaisifu CCM kwa mazuri yake ya kujenga nchi? Mbona kama kuna kitu sielewi? Kweli Tanzania hakuna Upinzani na kama huyu naye anatumiwa na chadema kuwasemea basi ni wazi chadema wamechanganyikiwa na hata hawajui wanaokipigania tena, naona sasa Raisi Magufuli ndo amegeuka mpinzani wao binafsi badala ya CCM!

katoa maoni yake yeye kama yeye unaingiza story za CHADEMA.

hivi nyie wana CCM kwanini wote mna akili za kuku??
 
Kwa hiyo anaisifu CCM kwa mazuri yake ya kujenga nchi? Mbona kama kuna kitu sielewi? Kweli Tanzania hakuna Upinzani na kama huyu naye anatumiwa na chadema kuwasemea basi ni wazi chadema wamechanganyikiwa na hata hawajui wanaokipigania tena, naona sasa Raisi Magufuli ndo amegeuka mpinzani wao binafsi badala ya CCM!
We kuna kitu umewahi elewa kwenye maisha yako!?!?
 
Nchi hii kila MTU ni msemaji sasa,kila MTU ni mchambuzi,kila mtu ni mtabiri.

Kazi IPO mwaka huu.
 
Hizo tiles ukutani kama yupo kwenye bucha la nyama, nafikiri ndiyo zimemuathiri uwezo wake wa reason!
 
Kwa hiyo anaisifu CCM kwa mazuri yake ya kujenga nchi? Mbona kama kuna kitu sielewi? Kweli Tanzania hakuna Upinzani na kama huyu naye anatumiwa na chadema kuwasemea basi ni wazi chadema wamechanganyikiwa na hata hawajui wanaokipigania tena, naona sasa Raisi Magufuli ndo amegeuka mpinzani wao binafsi badala ya CCM!
Mmeambiwa kama lowassa ni fisadi mpelekeni mahakamani otherwise ujanja ujanja una mwisho wake.
 
5 Reactions
Reply
Back
Top Bottom