Hashimu Rungwe amtolea uvivu Rais Magufuli, ahoji nchi imepinda kuelekea wapi?

Una point mkuu ila che nkapa nae alifanya yake
Kilichomponza JK ni dini yake angekuwa upande ule angeitwa mtakatifu[/QUOTE]

Jk nae alivurunda sehemu zake upigaji ulitamalaki dini isiwe kichaka cha kujificha
 
t: 19193422, member: 21825"]The good thing is, Mungu alitupa uwezo tofauti wa kufikiri na kuamua! so, analysis yako naipa credit and at the same time nai discredit! kwa ufupi nakujibu kama ifuatavyo:-
  1. Rungwe ni mwanasiasa kama alivyo magufuli. utofauti wao ni kwamba, the latter is so called president! nimeshiriki
  2. katika tafiti nyingi nchini ikiwa ni pamoja na kuangalia issue ya utawala bora na Democrasia, zaidi ya asilimia 65% ya
  3. tuliowahoji hawana imani na serikali hii,
  4. na wengi wao wanamwita Rais Dikteta. Tafiti hii ilijumuisha mikoa ya Dar Es salaam, Morogoro, Arusha, Mbeya, Ruvuma, Katavi, Kagera na Simiyu. Kwa hiyo kumwita jamaa Dikteta Uchwara,
  5. nina sababu za msingi za kufanya hivyo.
  6. Nakosa kuwa na appreciation kwa Rais kwa sababu sioni sababu ya kufanya hivyo na sipendi kuwa mnafiki na kusaliti hisia zangu mwenyewe. Rais Magufuli namfahamu sana kuliko hata unavyomjua. wakati amepata admission
  7. ya phD hapa UDSM nilikuwepo na ni kanjanja kuliko unavyojua. For your information, alipata ufadhiri wa PhD kutoka sehemu nne na wafadhili wote walimlipia in fully. Kwa kuwa walikuwa
  8. wanalipa kwenye A/C ya Chuo, kulikuwepo na hela nyingi kuliko iliyokuwa inahitajika. jamaa akaja kuomba tumsaidie salio lililozidi. Kumbuka hapo bado ni waziri wa Ujenzi....!nachomanisha
  9. hapa ni kwamba, sifa kubwa ya uongozi ni Integrity na kwa bahati mbaya sijaona integrity kwa Rais huyu. Ndo maana nampa benefit of doubt Hashimu Rungwe kwa kuwa Muwazi na kusema kile watu hawapendi kusema na Kusikia. On top of

  10. that, kama unamwona Rungwe Hana Logic, It's the same way namwona Magufuli kilaza! Fair trade...
  11. Kwa siasa za hovyo na sera mbovu za wanasiasa hapa TZ, Politics is nothing but Circus! ndo maana mnaambiwa kuwa viwanda vinakuja nanyi mnakubali bila

  12. kuhoji vitakujaje? msomi mzuri or mwanafunzi mzuri ni yule anayehoji na mwenye guts za kutaka kujua mambo, focused and very determined to
  13. differentiate things. unaambiwa ni serikali ya viwanda, umejiuliza nani atajenga viwanda? je wawekezaji hao ni local or foreigner? je miundombinu imewekwa ku- facilitate viwanda? mtaani watu hawana purchasing power, je hivyo viwanda

  14. watavijengea nini? Banks zimesitisha kutoa mikopo na nyingine zimepandisha riba, je ni wangapi watakopesheka
  1. unasema kuwa vyombo vya sheria vyote vilikuwa kwenye stalemate, una ushahidi na hilo? basi naomba u-prove
  2. unachokisema...
  3. Mkuu, huwa sichoti maneno kwa wanasiasa, bali wanasiasa huchota kwangu! Kwa bahati mbaya, Tanzania ndo nchi pekee ambayo wafuasi wa vyama vya siasa wanaweka hisia mbele na maarifa nyuma, wakati ukimsifia huyo jamaa yenu, waza pia upande wa pili wa shilling! wazungu wanasema igonance is bliss, sometimes it is better for you if you do not know all the facts about a situation. Ndo maana wewe unamwona jamaa yuko sawa! What i can tell you is, stay healthy....Utaona mwisho wa haya yote!
[/QUOTE]
Prof waambie wachane hao viraza na viraza mwenzao wanapenda ma prof wale Wa buguruni
 
The good thing is, Mungu alitupa uwezo tofauti wa kufikiri na kuamua! so, analysis yako naipa credit and at the same time nai discredit! kwa ufupi nakujibu kama ifuatavyo:-
  1. Rungwe ni mwanasiasa kama alivyo magufuli. utofauti wao ni kwamba, the latter is so called president! nimeshiriki katika tafiti nyingi nchini ikiwa ni pamoja na kuangalia issue ya utawala bora na Democrasia, zaidi ya asilimia 65% ya tuliowahoji hawana imani na serikali hii, na wengi wao wanamwita Rais Dikteta. Tafiti hii ilijumuisha mikoa ya Dar Es salaam, Morogoro, Arusha, Mbeya, Ruvuma, Katavi, Kagera na Simiyu. Kwa hiyo kumwita jamaa Dikteta Uchwara, nina sababu za msingi za kufanya hivyo.
  2. Nakosa kuwa na appreciation kwa Rais kwa sababu sioni sababu ya kufanya hivyo na sipendi kuwa mnafiki na kusaliti hisia zangu mwenyewe. Rais Magufuli namfahamu sana kuliko hata unavyomjua. wakati amepata admission ya phD hapa UDSM nilikuwepo na ni kanjanja kuliko unavyojua. For your information, alipata ufadhiri wa PhD kutoka sehemu nne na wafadhili wote walimlipia in fully. Kwa kuwa walikuwa wanalipa kwenye A/C ya Chuo, kulikuwepo na hela nyingi kuliko iliyokuwa inahitajika. jamaa akaja kuomba tumsaidie salio lililozidi. Kumbuka hapo bado ni waziri wa Ujenzi....!nachomanisha hapa ni kwamba, sifa kubwa ya uongozi ni Integrity na kwa bahati mbaya sijaona integrity kwa Rais huyu. Ndo maana nampa benefit of doubt Hashimu Rungwe kwa kuwa Muwazi na kusema kile watu hawapendi kusema na Kusikia. On top of that, kama unamwona Rungwe Hana Logic, It's the same way namwona Magufuli kilaza! Fair trade...
  3. Kwa siasa za hovyo na sera mbovu za wanasiasa hapa TZ, Politics is nothing but Circus! ndo maana mnaambiwa kuwa viwanda vinakuja nanyi mnakubali bila kuhoji vitakujaje? msomi mzuri or mwanafunzi mzuri ni yule anayehoji na mwenye guts za kutaka kujua mambo, focused and very determined to differentiate things. unaambiwa ni serikali ya viwanda, umejiuliza nani atajenga viwanda? je wawekezaji hao ni local or foreigner? je miundombinu imewekwa ku- facilitate viwanda? mtaani watu hawana purchasing power, je hivyo viwanda watavijengea nini? Banks zimesitisha kutoa mikopo na nyingine zimepandisha riba, je ni wangapi watakopesheka?
  4. unasema kuwa vyombo vya sheria vyote vilikuwa kwenye stalemate, una ushahidi na hilo? basi naomba u-prove unachokisema...
  5. Mkuu, huwa sichoti maneno kwa wanasiasa, bali wanasiasa huchota kwangu! Kwa bahati mbaya, Tanzania ndo nchi pekee ambayo wafuasi wa vyama vya siasa wanaweka hisia mbele na maarifa nyuma, wakati ukimsifia huyo jamaa yenu, waza pia upande wa pili wa shilling! wazungu wanasema igonance is bliss, sometimes it is better for you if you do not know all the facts about a situation. Ndo maana wewe unamwona jamaa yuko sawa! What i can tell you is, stay healthy....Utaona mwisho wa haya yote!
Naona unajaribu kuni- knockout kwa kutaja sifa zako za elimu. Nasikitika kwamba naweza kuwa competent kuliko wewe. Hapa JF ni arguments siyo muscle flexing kama bondia. Sihitaji kujua Ph.D yako ambayo huenda haijaleta manufaa.

Ktk huo utafiti uliofanya, majibu yake unaamini ndo ukweli? Nami nilishafanya utafiti mkuu, bahati mbaya sana huo wa aina yako huwa unapima perception na huenda ungerudi kesho yake, ungepata majibu tofauti kabisa!! Utafiti wetu huu wa kuganga njaa, usiwe kigezo cha kulazimisha facts na realities. UD tunawakumbuka na REDET yenu na matokeo ya tafiti zenu. Muko hoi kuliko sii mitaani.

Umeeleza mengi juu ya waziri Magufuli na jinsi unavyomfahamu sijui na pesa za sponsorship zilivyokwenda. Ukiniuliza mimi niamue nini cha kufanya leo hii, kama hayo uliyoandika ni kweli, wote muliohusika na kutoa digrii nawatia matatani. Kwa wakati huo yeye kama mwanafunzi nanyi kama waajiliwa muliokuwa na dhamana ya kusimamia taaluma na integrity, hamkutimiza wajibu wenu na mulichoonyesha ni uselessness.
 
Ahoji kauli ya Rais kuwa nchi imepinda kuelekea wapi, Kuelekea Ubungo au Temeke? Anahoji kila mara Rais anasema ufisadi wakati kapewa jeshi, polisi na kodi za kumsaidia, kwanini hakamati hao mafisadi, ahoji CCM kuhoji ufisadi wa Lowasa na kushindwa kumkamata, hivyo wanamsingizia.
Amesema ndani ya miaka 10 nchi imepiga hatua kubwa kwenye maendeleo kuna barabara nyingi zimejengwa kwa kiwango cha lami, vyuo vikuu vilikuwa vitatu leo kuna vyuo vikuu vingi, kuna viwanja vya ndege vimejengwa na vingine kupanuliwa usafiri wa boti za kisasa njia za majini lakini Rais Magufuli anadai nchi imepinda, anahoji maendeleo hayo ndio kupinda kwa nchi?
Anendelea kudai kuwa Magufuli hajafanya chochote cha kujivunia kuwa kainyoosha nchi na kuleta maendeleo tofauti na kununua ndege na kununua ndege unachukua fedha na kununua tu, sio kazi kubwa
Tazama mwenyewe hapa

Babu bado anachuki za kubwagwa vibaya uchaguzi mkuu !
 
Achana na watu kama huyu ambao hawajifahamu. Mtu hajui hata Vyuo vikuu vilikuwa vingapi!

Wewe unajifahamu? Au ndo mambo ya Saddam kuwa rais wa Libya??

Ukiwa defensive huwezi kujenga hoja na utaishia kutukana cos IQ inashuka sana ukiruhusu kila hoja uiangalie kwa kutafuta namna ya kujidefend.

Anyways mi naona ana hoja maana tunaweza kufika 2020 bado tunaambiwa nchi ilikuwa imeoza bado nainyoosha. So awamu nyingine tena ya 5yrs ikatumika kunyoosha badala ya kuleta mabadiliko ya kiuchumi.
 
Ulipoambiwa maisha bora kwa miaka 5 uliyapata? Mitano mingine ukaambiwa nini vile! Uliona chochote?
Magufuli anaweza kukosea na anastahili kukosolewa lakini siyo kwa maneno ya mtu huyu niyaite eti anakosoa. Sioni lolote zaidi ya vituko kama aliyokuwa anazungumza wakati akitafuta kuwa rais. Zipo akili zinazoweza kukosoa na unayekosolewa ukaitikia kwamba hiyo sawa!

Jamaa, hebu usijifunzie kwangu kujenga hoja na ka-english kabovuuuu! tumia kiswahili, ni bora kuliko kuandika "anyways mi naona........"
Sayansi gani hiyo inayosema IQ inashuka unapotukana?
 
Nimegundua mimi siko kwenye ngazi ya kujibizana na wewe maana ukweli ni kwamba niko juu sana na mtu wa aina yako kiuhalisia napoteza muda na rasilimali zangu zingine kujaribu kukuweka sawa.

We endelea nao hao watu ambao ndio unafikiri wana uwezo wa kuchambua ilhali hata wewe una ubongo ila unashindwa kujua kwamba hata wewe unastahili kukosoa na kusikilizwa km unachokisema kina mantiki.

Utafiti wa IQ uko wazi sana hata ukisoma ulichokiandika nadhani utagundua ulifanya ivo wakati IQ imeshuka mpaka kusoma namba km za viatu. Pole
 
Naona unajaribu kuni- knockout kwa kutaja sifa zako za elimu. Nasikitika kwamba naweza kuwa competent kuliko wewe. Hapa JF ni arguments siyo muscle flexing kama bondia. Sihitaji kujua Ph.D yako ambayo huenda haijaleta manufaa.

Ktk huo utafiti uliofanya, majibu yake unaamini ndo ukweli? Nami nilishafanya utafiti mkuu, bahati mbaya sana huo wa aina yako huwa unapima perception na huenda ungerudi kesho yake, ungepata majibu tofauti kabisa!! Utafiti wetu huu wa kuganga njaa, usiwe kigezo cha kulazimisha facts na realities. UD tunawakumbuka na REDET yenu na matokeo ya tafiti zenu. Muko hoi kuliko sii mitaani.

Umeeleza mengi juu ya waziri Magufuli na jinsi unavyomfahamu sijui na pesa za sponsorship zilivyokwenda. Ukiniuliza mimi niamue nini cha kufanya leo hii, kama hayo uliyoandika ni kweli, wote muliohusika na kutoa digrii nawatia matatani. Kwa wakati huo yeye kama mwanafunzi nanyi kama waajiliwa muliokuwa na dhamana ya kusimamia taaluma na integrity, hamkutimiza wajibu wenu na mulichoonyesha ni uselessness.
Boss, are you still there!? mkuu, ningependa tuendeleze mjadala but unaniangusha kwa mambo mengi! Tanzania haiendi kuisha leo wala kesho and am sure you can make it! jifunze/soma ili upata data muhimu, fuatilia mawazo ya wengine no matter how silly it may sound!, pambanua mawazo husika na pumba tupa kule, jifunze kuwajibika hata kama ni kuteleza kwa ki-fikra, na mwisho wa yote never trust anybody! choice is yours! bless up
 
acha unafiki.. udom imeanza 2007 miaka miwili yoka mkapa asepe... na jengo la udom la kwanza ni chimwaga ambapo ni jengo la ccm... magorofa yote ya udom yamejengwa na serikal ya kikwete

Mbona kikwete anajua UKIMWI ni kujitakia?
UDOM mwanzilishi ni Mkapa, vyuo vingine ni madhehebu ya kidini na vilianza wakati wa mkapa. Chuo gani unachofahamu kilianza wakati wa Kikwete? BRT ya Dar ni mkopo wa world bank na mambo yalianza enzi ya Makapa. Kuna harufu ya ushabiki wa kidini bado watu inawasumbua sana!!
Mbona husemi Reli iliyoangushwa na utawala uliopita? ATCL iliyokosa ndege hata moja wakati wa utawala huo?
Kumbukeni hapa ni JF. Kuna wasomi wengi kuliko wapiga zomari!
 
acha unafiki.. udom imeanza 2007 miaka miwili yoka mkapa asepe... na jengo la udom la kwanza ni chimwaga ambapo ni jengo la ccm... magorofa yote ya udom yamejengwa na serikal ya kikwete
Ndani ya miaka mingapi?
Hayo ya Kikwete yamefanyika. Mtamkumbuka sana.
Mkapa alikuja na sera moja kukusanya pesa.
Kikwete alikuja na sera yake ya kukuza miundombinu.
Magufuli kaja na sera moja ya kuwanyoosha mupate kujua jinsi ya kutumia miundombinu vizuri. Na kuwaonyesha maana ya misemo mfano usione kinaelea jua kimeundwa, easy come easy goes nk
 
Na kama mtu afikirii anaweza akahoji, ohooo sasa akijua Saddam alikuwa rais wa Iraq sisi inatudaidia nini? Jibu ni kwamba ingetusaidia kufaham umakini wa mtu huyu, kitu ambacho ni muhimu kwa nafasi aliyokuwa anaomba. Suala la Saddam lilitikisa dunia nzima, na mtu yeyote mzima mwenye kufuatilia mambo asingeshindwa kufaham angalau alikuwa rais wa wapi. Tumepata kiongozi ambaye sio makini, na kama alivyosema Hashim Rungwe, anaendesha nchi kwa chuki na visasi.
KENYA WAPIGA KURA WALIMNYIMA URAIS MGOMBEA MMOJA BAADA YA KUFIKA KWENYE MKUTANO WA KUFUNGA KAMPENI HAPA NAIROBI NA KWA UMATI ULE TULIVYOJAA AKAULIZA SWALI DALILI YA MAWINGU ? WAPIGA KURA TUKASHANGAA KATIKA UMATI ULE WA WATU AMEJIBU MTU MMOJA TU AKASEMA MVUA BASI BAADA YA UCHAGUZI NAIROBI NZIMA ALIPATA KURA MOJA TU
 
Back
Top Bottom