Missile of the Nation
JF-Expert Member
- May 24, 2018
- 13,498
- 51,090
Hashim Rungwe anasema
1. Kuhusu hizi tozo wananchi hawakuulizwa wala kushirikishwa
2. Amesema serikali haibani matumizi, kwa mfano amesema kuwa magari ya vigogo ni bei kubwa, service yanahitaji service kila wakati, huku vigogo wakipewa mafuta bure
3. Anasema Waziri Mwigulu anatafuta sifa serikalini bila kujali kuwa wananchi wanaumia sana kwa hizi tozo