Hashim Rungwe amemtaka Prof. Lipumba awaombe radhi wana-CUF, Watanzania

Francis12

JF-Expert Member
Sep 30, 2016
7,533
22,276
Mwenyekiti wa CHAUMMA, Hashim Rungwe amtaka Prof. Lipumba kuwaomba radhi watanzania sababu ya mgogoro wa CUF.
IMG_20161130_074056.jpg
 
Mtu yoyote makini hawezi kuungana na kinachofanywa na Lipumba.Huyu Jamaa aliwatosa CUF katika kipindi muhimu mno kiasi kwamba hakutakiwa kabisa kufungua hata mdomo kuongelea jambo lolote la CUF kwa sasa.
 
Lipumba ni kama tapeli la siasa nchini........

Nyoka asiye na sumu.......

Aachie chama kwani yeye ni nani kuwa mwenyekiti miaka yote hiyo?......
 
Rungwe nae hajitambui. Nani ni kiongoz halali wa cuf kwa sasa kwani.Mwenyekiti yupo kihalali na kisheria au sio ? tujibu kwanza swali hili. Tukipata majibu ndio tuendelee mbele.
Usijifanye kuwa wewe ni mwerevu sana. Mwenyekiti wa CUF alijiuzulu hata video zipo anaongea kwa lidomo lake na hakuna mahali alisema anaenda likizo. Kama wewe huna jibu basi you are basically an idiot, if not an ignorant!
 
Mtu yoyote makini hawezi kuungana na kinachofanywa na Lipumba.Huyu Jamaa aliwatosa CUF katika kipindi muhimu mno kiasi kwamba hakutakiwa kabisa kufungua hata mdomo kuongelea jambo lolote la CUF kwa sasa.
Nadhani weww ndio sio makini. Haiwezekani mtu uliyekua unamuimba mtuhumiwa wa ufisadi wwwe mwenyewe finally ukaja kaa nae meza moja. Haiwezekani. Vinginevyo itakua siasa za utapeli ambazo unafiki huo hatuutaki. Lazima tupambanue mambo haya. Ni nani mwananchi ambaye yupo tayar kukubali utapeli huu! Wengine hawakujali kwa sabb walilipwa walizolipwa basi. Wakapiga chini utu wao.
 
Usijifanye kuwa wewe ni mwerevu sana. Mwenyekiti wa CUF alijiuzulu hata video zipo anaongea kwa lidomo lake na hakuna mahali alisema anaenda likizo. Kama wewe huna jibu basi you are basically an idiot, if not an ignorant!
Nakubali alijiuzuru. Baada ya kujiuzuru nini kilifanyika.hawakufanya maamuzi viongozi wale wa chama. Bado walikua wamepigwa na butwaa na mshangao. Chama kilikua kime paralize. Wala hawakuweza chagua mwingine. Sasa Lipumba karudi, wanachama.wakamuomba arudi. Akasikia sauti zao. Akaandika barua ya kufuta maamuzi yake. Katibu mkuu akapokea kwa mikono miwili. Bila kusema lolote. Akasema wangemjadili. Basi wanachama wakamrudisha kwa sababu tangu ajiuzuru hakuna lolote lililokia limefanyika. Kisheria bado sasa amaendelea kutambulika. Kwa kufuatana na katiba, mama
 
Usijifanye kuwa wewe ni mwerevu sana. Mwen, kiti wa CUF alijiuzulu hata video zipo anaongea kwa lidomo lake na hakuna mahali alisema anaenda likizo. Kama wewe huna jibu basi you are basically an idiot, if not an ignorant!
Hivi ukiulizwa katiba ya cuf inasemaje kuhusu nafasi hizi za uongozi ,kuhusu kujiuzuru pia? ? Unaweza jibu?
 
Nakubali alijiuzuru. Baada ya kujiuzuru nini kilifanyika.hawakufanya maamuzi viongozi wale wa chama. Bado walikua wamepigwa na butwaa na mshangao. Chama kilikua kime paralize. Wala hawakuweza chagua mwingine. Sasa Lipumba karudi, wanachama.wakamuomba arudi. Akasikia sauti zao. Akaandika barua ya kufuta maamuzi yake. Katibu mkuu akapokea kwa mikono miwili. Bila kusema lolote. Akasema wangemjadili. Basi wanachama wakamrudisha kwa sababu tangu ajiuzuru hakuna lolote lililokia limefanyika. Kisheria bado sasa amaendelea kutambulika. Kwa kufuatana na katiba, mama
Maelezo yako ni hafifu sana hata familia haiongozwi hivyo Kama mke au mume akiamua kuondoka kwenye ndoa hawezi tu kurudi kwa sababu aliyeachwa hajapta mwenza na kudai watoto ndio wamekurudisha! Hilo ndilo wewe na profesa wako mnafanya. That's the highest degree of stupidity that a man he calls himself a professor can't realize. I hate to be called professor because of this guy. Shame on you lipumba
 
Hivi ukiulizwa katiba ya cuf inasemaje kuhusu nafasi hizi za uongozi ,kuhusu kujiuzuru pia? ? Unaweza jibu?
Okay, sijui katiba ya cuf. Weka hapa kipengele kiachosema unaweza kujiuzulu kwa maandishi na kurudishwa na wanachama. Usifanye watu ni wajinga kwa sababu wewe ni mjinga. Don't accept to be a slave of ignorance!
 
Nadhani weww ndio sio makini. Haiwezekani mtu uliyekua unamuimba mtuhumiwa wa ufisadi wwwe mwenyewe finally ukaja kaa nae meza moja. Haiwezekani. Vinginevyo itakua siasa za utapeli ambazo unafiki huo hatuutaki. Lazima tupambanue mambo haya. Ni nani mwananchi ambaye yupo tayar kukubali utapeli huu! Wengine hawakujali kwa sabb walilipwa walizolipwa basi. Wakapiga chini utu wao.

Unaweza kugundua kumbe uliyekuwa unamwimba ni Fisadi alikuwa anatumwa na mazingira aliyokuwa hayakuruhusu kusema ukweli.Fisadi Original yupo pembeni anatabasamu.
 
Back
Top Bottom