Hasheem Thabeet yupo zake Dar anacheza ligi ya mkoa

Mcheza mpira wa kikapu wa Kitanzania, Hasheem Thabeet yupo zake hapa Dar, akicheza ligi ya kikapu ya mkoa maarufu kama Ligi ya RBA.

Inaelezwa Hasheem yupo zake ila sio mtu wa kujichanganya sana, kama sio mtu wa Kikapu huwezi kujua kama yupo Bongo.

Natamani niendelee kuandika ila niishie hapa, tuna ya kujifunza mengi toka kwa Hasheem
Aisee...ligi ya kikapu Bongo.
 
Hivi huyu jamaa alikumbuka kununua government bonds kweli? Maana kwa hela aliokuwa analipwa ni wazi angeweza nunua bonds hata za 5B maisha yangekuwa mazuri hadi hii leo. Na hata hicho kikapu angekuwa anacheza for fun tu.
Shida Elimu ya bonds and securities (uwekezaji wa aina hii) kwa wengi wetu haipo. Na wanaotakiwa kuwa approach watu wenye kuweza kuwekeza hizo Govt Bond wapo maofisini wanasubiri wateja wawafate by chance!
 
Mwamba yupo likizo, timu anayochezea kwa Sasa ni Hsinchu pioneers ya Taiwan .. ni kama samatta anavyorudi kucheza samakiba kipindi cha likizo ..
Ila samata kufanya mazoezi na MAMBUMBUMBU ndio maana anayumba tu sasa hivi.
 
Back
Top Bottom