Geza Ulole
JF-Expert Member
- Oct 31, 2009
- 58,776
- 78,447
Jamani kwa maoni yangu nionavyo huyu kijana wetu anapwaya kweeeli yaani sidhani kama atakaa Memphis msimu huu sijui nini kimemtokea? Hivi likizo hakujichimbia kufanya mazoezi mbona inasikitisha ati?