Hasheem Thabeet naona Oklahoma namba yake imeshachukuliwa na yoso

dogo ndie mchezaji mrefu kuliko wote nba kwa sasa.
dogo anaweza kucheza defense kumshinda hata roy hibbert.
dogo ana so much potential. He's a diamond in the rough, and it's just a matter of time before he can unleash his enormous basketball iq

naaaaaaam????
 
hapa ndipo ule usemi wa size does not matter ndiyo huwa unatimilishwa ila ni kalufundi kako tu.
 
Dogo ndie mchezaji mrefu kuliko wote NBA kwa sasa.
Dogo anaweza kucheza defense kumshinda hata Roy Hibbert.
Dogo ana so much potential. He's a diamond in the rough, and it's just a matter of time before he can unleash his enormous basketball IQ
i disagree...

Hashimu doesnt look motivated, he seems out of place and he thinks he has achieved all that he wanted

Jama alipewa dakika chache but was really useless... vile vitoto vipya vyote vimeshamzidi

inauma sana kuona his mentality kama bado haijamature

i would love to see him kwenye headlines because he has the physical ingredients
 
I like ur name bloke!! kamojatu
Watu wengi wakienda huko ulaya au amerika huwa wana jiona wamechenji kimaisha mi wananikera sana. Ni ishara ya ushamba na upumbafu.

Ingekuwa ni hivyo hawa ndugu zetu aboriginals wangekuwa wazungu(australian indeginous). Lakini huez amini, hawana mpango na wazungu wala kujisemesha "u know", "yes yes" walaaa wao ni kinyumbani tu. Sasa sisi unakuja 2-3years una lafudhi ya kizungu  USHAMBA

Hapa ndiyo wabongo "mnaponichoshaga", ukienda leo usukumani ukaongea kisukuma cha kuunga unga kwa lafudhi ya kiswahili utakuwa perceived kuwa unaringa lakini ukiongea kiingereza kwa lafudhi ya kiswahili kama akina JK, Makinda etc. unaonekana hujui, ukiongea kiingereza kwa lafudhi ya kimtoni eti ni ushamba. Where does this non sense stop at? Nnachokiona hapo ni tatizo lile lile tulilonalo siku zote kwamba kuna lugha superior na nyingine infeior.

Ili kuwa fair huyu dogo mumjadili kwa content of his character na kumshauri nini cha kufanya.......
 
Hapa ndiyo wabongo "mnaponichoshaga", ukienda leo usukumani ukaongea kisukuma cha kuunga unga kwa lafudhi ya kiswahili utakuwa perceived kuwa unaringa lakini ukiongea kiingereza kwa lafudhi ya kiswahili kama akina JK, Makinda etc. unaonekana hujui, ukiongea kiingereza kwa lafudhi ya kimtoni eti ni ushamba. Where does this non sense stop at? Nnachokiona hapo ni tatizo lile lile tulilonalo siku zote kwamba kuna lugha superior na nyingine infeior.

Ili kuwa fair huyu dogo mumjadili kwa content of his character na kumshauri nini cha kufanya.......

Mie sijakuelewa hata kidogo, unaposema "non sense" on what context?
 
Mie sijakuelewa hata kidogo, unaposema "non sense" on what context?

Non sense ya ku-contextualize kwamba kuna lugha superior na nyingine inferior. Naomba nisisitize I was and I am not trying to attack anyone personally.
 
Non sense ya ku-contextualize kwamba kuna lugha superior na nyingine inferior. Naomba nisisitize I was and I am not trying to attack anyone personally.

U are wrong in a wrong way..lugha zuna tofauti ndio mana kuna mother tongue, first and last languages. Which means the most fluent language u spoke from your childhood is mostly expected to have it as ya first and foremost language
 
[h=3]NBA statistics[/h]
Legend
GPGames played GS Games started MPG Minutes per game
FG% Field goal percentage 3P% 3-point field goal percentage FT% Free throw percentage
RPG Rebounds per game APG Assists per game SPG Steals per game
BPG Blocks per game PPG Points per game Bold Career high

[h=4]Regular season[/h]
YearTeamGPGSMPGFG%3P%FT%RPGAPGSPGBPGPPG
2009–10Memphis681313.0.588.000.5813.6.2.21.33.1
2010–11Memphis4508.2.436.000.5431.7.1.2.31.2
2010–11Houston202.0.000.000.000.0.0.0.5.0
2011–12Houston504.61.000.000.0001.4.0.0.41.2
2011–12Portland1537.7.444.000.6502.3.0.1.51.9
2012–13Oklahoma City66411.7.604.000.6043.0.2.5.92.4
Career2012010.8.567.000.5872.8.1.3.92.3

[h=4]Playoffs[/h]
YearTeamGPGSMPGFG%3P%FT%RPGAPGSPGBPGPPG
2013Oklahoma City406.5.500.000.0001.5.0.3.0.5
Career
406.5.500.000.0001.5.0.3.0.5





 
2012–13 season

On July 11, 2012, he signed as a free agent with the Oklahoma City Thunder. On November 26, 2012, in a 114-69 win over the Charlotte Bobcats, Thabeet recorded his first career double-double with 13 points (a career high) and 10 rebounds.This dude has a long way to go...
 
Do you, and let the fella do him.

You are not in his rather large shoes (literally and figuratively), and unless you got him where he is, you have no right to bitch about what he can and cannot do.

I am not the least impressed by his performance, but then again I realize that he is some kind of a biological anomaly - that is what got him in the NBA in the first place.

I don't understand his challenges, I don't understand how he sits on airplane seats trekking from city to city to play with those ngongoti like legs, I don't understand the NBA politics and how a Sinza kid at heart with minimal social skills would be able to fend for himself, I don't even know if Hashimu is NBA material or just a carefully crafted boondoggler.

But that - perhaps because of that- I don't feel qualified to opine on the inticacies of his sportsmanship and skill.

To top it all, being Tanzanian does not give me any right to feel personally invested, responsible, animated or even relevant to his story. I did not help him in his ascent, I can't holler in pain because he is not what he was cracked up to be.

If anything I give props there is one Tanzanian who made it to the NBA.
 
U are wrong in a wrong way..lugha zuna tofauti ndio mana kuna mother tongue, first and last languages. Which means the most fluent language u spoke from your childhood is mostly expected to have it as ya first and foremost language

Mkuu hutaweza kunielewa kwa sababu unaiangalia hii in a very narrow perspective, jaribu kutoka nje ya boksi ok:

Mwingereza akiongea kihehe kwa lafudhi ya kihehe atasifiwa na labda kuandikwa mpaka gazetini, Vivyo hivyo kwa Mmarekani akiongea kimakonde. Ukimkuta mjapani anachapa kisafwa fasaha na mfano wewe ni msafwa vipi utavojisikia raha kufanya nae conversation???? Mkuu wachina tu pale bongo wanaochapa kiswahili fasaha wanafurahiwa kwa sana. Hapa wiki iliyopita tumeona vijisentensi kadhaa tu vya kiswahili vikionglewa huko Sauzi watu wanavyotoa sifa.

Sasa tabu inakuja mmbongo akiongea kama mwingereza au mmarekani hiyo inaonekana ni kufuru tena dhambi that's why ninaiita hii concept ni non sense! Nadhani unanipata sasa!! Lakini sijawahi kusikia mtu anasema da yule jamaa mshamba sana kwa sababu anaongea kifaransa kama wafaransa au kinyarwanda kama wanyarwanda, au kireno kama wareno. Kwa nini ni kwenye english tu ndiyo maana narudia tena hii "non sense" inatokana na kuamini kuwa kuna lugha inferior na zingine superior!
 
mengi yatasemwa ila Hashim ni mzembe sana na ni mtu wa kuridhika sana
 
Jamaa ni limbukeni la nguvu, majina yake yalikuwa yakiandikwa 'Hashimu Thabiti' tangu utotoni (I stand to be corrected) kafika USA kaanza kuandika 'Hasheem Thabeet', lo ni ajabu, majina hayana Kilugha wala Kizungu. Acha aharibikiwe ajifunze kupenda vya nyumbani.
 
View attachment 125980

Tulijadili sana kuhusu huyu kijana siku za nyuma huko na kujaribu kumshauri ajitahidi kujituma, sasa hali halisi katika timu yake ni kuwa bench kila mechi maana namba yake imechukuliwa na yoso mmoja ambaye ameibukia mpya katika liki mwaka huu toka chuoni, nafasi yake center huwa ya wachezaji wawili wa kupokezana, waliopo wanatosha, Hasheem anaonekana kubaki meza ya ufundi akisubiria kipindi cha dirisha dogo kuuzwa kama kutakuwa na timu itakayokuwa tayari kumpokea. Anatakiwa aondokane na mfumo wa uchezaji wa ridhaa, huko ni kujituma kwa kwenda mbele tu.

mambo ya kawaida tu hayo katika gemu kuna kupanda na kushuka ila kija na akaze buti
 
mambo ya kawaida tu hayo katika gemu kuna kupanda na kushuka ila kija na akaze buti

Tatizo ni moja, hajawahi kupanda na anaonekana kama ni reject! Imagine Memphis waliomdraft walishindwa kufanya naye kazi, kaenda Portland kachemsha, Houston hivyo hivyo na sasa OKC ambako kwa msimu huu amecheza dk 32 tu kati ya mechi 23 OKC walizocheza.

Kwa sababu kama ni makusudi ya kusema anatengwa sio makocha wote, na timu zote hizo ziko fit kinoma noma, mi naona achukuliwe na timu za chini kabisa kwenye ligi anapoweza kucheza regularly ili apandishe tena kiwango vinginevyo atarudi bongo sasa hivi.

Kila OKC wakicheza naangaliaga Box Score na kukuta Hasheem - DNP, naborekaga mpaka basi.
 
Hivi kuna mtu kashawahi kufikiri kwamba huenda urefu huu usio wa kawaida ambao umempeleka Hashimu NBA ndio unaomuathiri asiweze kufanya vizuri?

Kwamba ni mrefu sana kiasi kwamba urefu badala ya kuwa advantage unakuwa disadvantage?
 
Hivi kuna mtu kashawahi kufikiri kwamba huenda urefu huu usio wa kawaida ambao umempeleka Hashimu NBA ndio unaomuathiri asiweze kufanya vizuri?

Kwamba ni mrefu sana kiasi kwamba urefu badala ya kuwa advantage unakuwa disadvantage?

Hili swala nalipa nafasi ndogo sana kwa sababu wakati yuko chuo alikuwa mchezaji mzuri sana sana mpaka kufikia kuwa drafted namba 2, na alifanya vizuri kwa urefu wake huu huu.
 

Similar Discussions

0 Reactions
Reply
Back
Top Bottom