Hasara za kuoa au kuwa katika mahusiano na mwanamke mshirikina

Jux kwa Vanessa ni kama.Jigga kwa Beyonce..Jigga huwa anawaogopa sana beehives ( Team.Beyonce )
Jux na yeye anawaogopa sana Team.Vanessa .. Anajua akimuacha Vanessa followers watamu unfollow insta
uko sawa bwana muha
 
Hii mada umenilenga mimi kabisa, mwanamke mshirikina ni hatari kubwa ndani ya familia, kwanza wanaharibu uchumi, akifanikiwa kuchukua nyota yako mambo yako yameisha tegemea neema ya mungu tuu hapo.


Sent using Jamii Forums mobile app
Ni hatari sana mkuu. Sometimes bora uwe " Team Handsome" tu yani uwe.unapiga mkono
 
Alright!!! Mfano tiari imekwisha tokea umeingia ktk mahusiano na mwanamke mshitikina,na amekufanyia hayo machafu yote na matokea yake yanaonekana.
Sasa nimekwisha gundua na nimekwisha muacha,Je nitarudishaje Nyota yangu iliyoibiwa au fifishwa nayeye ilihaki Mimi siomtu wakwenda kwa waganga?

Sent using Jamii Forums mobile app
Muombe Mungu kanisani au msikitini. It may take long but it works.

Kingine kaa mbali na zinaa kwa muda mrwfu mpaka mambo yako yatakapokuwa mazuri. It works alot
 
Pole sana.mkuu yamekukuta nini?

Nimekuwa nikiona watu wengi kwenye jamii wakishaambiwa kuwa mama yako mchawi , Bibi yako n.k
Huwa wanakuja juu!
Najiulizaga kwanini bila kuchunguza unaanza kumkatalia mtu?
Chunguza kwanza!

Mimi mchawi hata akiwa mama yangu mzazi simtetei !
Sana sana nitamsaidia namna ya kuonekana na huyo uchawi!




Sent using Jamii Forums mobile app
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom