Hasara za kununanuna

Kichuya

Member
Jul 9, 2016
55
30
Watu wanaokasirika mara kwa mara, wana hatari ya kukumbwa na maugonjwa ya aina nane: Katika jamii hiyo ya sasa, shinikizo kubwa la maisha na kuongezeka kwa kasiya maisha, watu wanakasirika mara kwa mara hata kutokana na mambo madog. Ukweli ni kwamba kukasirika siku zote siyo tabia nzuri kwa afya yako, kutokuwa na upole kunasababisha rahisi ugonjwa yafuatayo

1. kwanza, tezi dundumio haitakuwa katika hali ya kawaida, na baada ya muda mrefu, labda utapata ugonjwa wa sehemu hiyo, yaani hyperthyroidism,

2. kufanya ubongo kuzeeka haraka, kwani ukikasirika, shinikizo la mshipa wako wa damu litakuwa juu zaidi, na vitu vyenye sumu kwenye damu yako vitakuwa vingi zaidi na kusababisha kuzeeka kwa ubongo wako.

3. Kutaweza kusababisha ukosefu wa damu katika moyo yako na ugonjwa wa moyo utawezekana kulipuka

4. Kusababisha ugonjwa wa tumbo na kuhara, yaani kukasirika kutaharibu mzunguko wa damu mwilini, hasa kwa sehemu za tumbo, na kwa hiyo kuweza kusababisha magonjwa mbalimbali ya tumbo

5. Na watu waliokasirika mara kwa mara, huna alama nyeusi katika uso wao au rangi ya uso wao ni ya kufifia.

6. Kwa wanawake, kukasrika pia kunaweza kuathiri hedhi, na kuongeza maumivu wakati wa hedhi.
 
Back
Top Bottom