Daud omar
JF-Expert Member
- Apr 4, 2011
- 2,458
- 977
website ile inazaidi ya loop holes!ni more of walikua anafanya mazoezi baada ya some tutorials,!tukienda kwa stall hii ya kupongezana kinafiki ilhali mtu hastaili pongezi, kamwe hatutafika na tutazidi kuwa nyuma kitekinolojia milele. usichoelewa hapa ni kwamba Setup na wasafi wanafanya serious project kitoto!,in real word,hakuna mtu anajali kama unajifunza au ni professional, ukicreate poor stuffs,your then doomed no matter who you are! and the point is unaatarisha usalama wa wataje wako, nisinge sumbuka na a personal website,what for!
This is for their benefit,unafikiri kwa mapungufu hayo watapata faida?wewe naweza jifanya mzalendo ila kwa wengine ndo itakua fursa kwao kuteleza na ganda la ndizi!
Yes ni kweli mkuu tunakubali umefanya kwa faida yao wenyewe Wasafi na faida ya watumiaji wengine pamoja na wasanii wengine wote watakao weka kazi zao huko its okay na ni vizuri pia na tunakushukuru sana, but at least ungejaribu kuwasiliana na wenyewe Wasafi moja kwa moja kuliko ku exposed hapa nahisi ingekuwa bora zaidi hata pengine nahisi jamaa angekushukuru sana kuliko ku expose hivi halafu na mnapeana link kabisa jinsi ya kuiba nyimbo ambazo ni kazi za wasani wengine ambao wamezihangaikia na hata hawana makosa, this will look like an act of Conspiracy and may be pia ni kuharibu kazi ya mtu ambae huwezi jua ni jinsi gani amehangaika mpaka hata pale unapoina vile imesimama, tuwe basi hata na ule uzalendo tupende na kujenga vya kwetu na pia na kuvilinda, Ok tunajua you are good IT expert na narudia tena tunakushkuru kwa kutuzindua wengi kuhusu hili, but kama ungetumia njia nyengine kuwasilisha hayo mapungufu ya hiyo site ya Wasafi ingekua poa zaidi